Rais Magufuli na Waziri Mpango wameupoteza utalii

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,950
3,238
Katika ripoti ya sekta zinazokuwa 2016, Waziri Mpango amesema ni Madini, Mawasiliano wakati sekta za kilimo na utalii zikipotea

Tourism ikipotea, Kilimo hakitapona pia

Ona sasa wamepoteza utalii, corporate tax inapungua sana na VAT yao pia kidogo

Haya mambo ya papara ni shida kwenye uchumi
 
Wakenya walimdanganya Mpango kuwa weka VAT, bila kufanya tathmini, yeye akapeleka mbio mezani kwa bwana mkubwa

Kenya wao wakarudi wakaenda kuondoa......Tourism is strategy business

Landing fee na mafuta ya ndege ni ghali pale KIA na Julius Nyerere Airport, kwa nini flights za Kutokea Nairobi kwenda huko duniani is cheap?

Flights za kutoka New York au London kwenda JRO au Dar is more expensive by 400 to 500 $...

Watalii wanatua Kenya ndo waje Tanzania kutokea Kenya....

HATA kufufua ATCL bila kupunguza Landing fee na JET fuel, bado ATCL haitaweza kubeba gharama za uendeshaji, gharama zitafanya wauze ticket ghali tu.

Ndio maana bei za ATCL kwa flights za ndani ni sawa tu na Precision

Tena Flight Link na Tropical Air wana ticket cheap kuliko ATCL
 
Mpango Must go, Ni bora hata alivyokuwepo Saada Mkuya pamoja na Mwigulu Nchemba pale mafanikio yalionekana
 
Katika ripoti ya sekta zinazokuwa 2016, Waziri Mpango amesema ni Madini, Mawasiliano wakati sekta za kilimo na utalii zikipotea

Tourism ikipotea, Kilimo hakitapona pia

Ona sasa wamepoteza utalii, corporate tax inapungua sana na VAT yao pia kidogo

Haya mambo ya papara ni shida kwenye uchumi
Mkuu mbona nimemsikia na kumuona kwenye TV akisema watalii wameongezeka? Au mimi nilikuwa nasikia kitu kingine? Nisaidie Mkuu
 
Wakenya walimdanganya Mpango kuwa weka VAT, bila kufanya tathmini, yeye akapeleka mbio mezani kwa bwana mkubwa

Kenya wao wakarudi wakaenda kuondoa......Tourism is strategy business

Landing fee na mafuta ya ndege ni ghali pale KIA na Julius Nyerere Airport, kwa nini flights za Kutokea Nairobi kwenda huko duniani is cheap?

Flights za kutoka New York au London kwenda JRO au Dar is more expensive by 400 to 500 $...

Watalii wanatua Kenya ndo waje Tanzania kutokea Kenya....

HATA kufufua ATCL bila kupunguza Landing fee na JET fuel, bado ATCL haitaweza kubeba gharama za uendeshaji, gharama zitafanya wauze ticket ghali tu.

Ndio maana bei za ATCL kwa flights za ndani ni sawa tu na Precision

Tena Flight Link na Tropical Air wana ticket cheap kuliko ATCL
 
Juzi nilikaa hotel Moja ya kitalii mjini Arusha hadi saa 3 usiku sikuona mtalii yaani mzungu hata mmoja zaidi ya watalii wa ndani na hela zetu za madafu. Hali hiyo siyo ya kawaida hata kidogo Kwa hapa Ars . At the same time dereva mmoja wa tours niliyekutana naye bureau de change akitokea Nairobi aliniambia hotel kule katika msimu huu WA mwisho wa mwaka zimejaa na hamna nafasi. Akasema hii haijawahi tokea .
 
Kweli utalii umepungua.

Nilikiwa Ngorongoro na Lake Manyara week hii na idadi ya magari ya kubeba wageni si yakufananisha na kipindi cha nyuma.

Pia nilishangaa nilikutana na Wakenya wengi wametembelea Ngorongoro hiki kipindi cha holidays.

Familia za kitanzania nilikutana nazo chache tu
 
Juzi nilikaa hotel Moja ya kitalii mjini Arusha hadi saa 3 usiku sikuona mtalii yaani mzungu hata mmoja zaidi ya watalii wa ndani na hela zetu za madafu. Hali hiyo siyo ya kawaida hata kidogo Kwa hapa Ars . At the same time dereva mmoja wa tours niliyekutana naye bureau de change akitokea Nairobi aliniambia hotel kule katika msimu huu WA mwisho wa mwaka zimejaa na hamna nafasi. Akasema hii haijawahi tokea .
Msimu huu wa holidays nimeona family nyingi za wakenya wakitembelea Ngorongoro. And yes wageni wamepungua.....hii utaona hata ukiwa mbugani tu magari machache huwezi linganisha na miaka ya nyuma
 
Juzi nilikaa hotel Moja ya kitalii mjini Arusha hadi saa 3 usiku sikuona mtalii yaani mzungu hata mmoja zaidi ya watalii wa ndani na hela zetu za madafu. Hali hiyo siyo ya kawaida hata kidogo Kwa hapa Ars . At the same time dereva mmoja wa tours niliyekutana naye bureau de change akitokea Nairobi aliniambia hotel kule katika msimu huu WA mwisho wa mwaka zimejaa na hamna nafasi. Akasema hii haijawahi tokea .
Ulienda hotel ya kitalii kuwaangalia watalii? Kwani msimu wa utalii Arusha huwa miezi gani mkuu?
 
Juzi nilikaa hotel Moja ya kitalii mjini Arusha hadi saa 3 usiku sikuona mtalii yaani mzungu hata mmoja zaidi ya watalii wa ndani na hela zetu za madafu. Hali hiyo siyo ya kawaida hata kidogo Kwa hapa Ars . At the same time derva mmoja wa tours niliyekutana naye bureau de change akitokea Nairobi aliniambia hotel kule katika msimu huu WA mwisho wa mwaka zimejaa na hamna nafasi. Akasema hii haijawahi tokea .
Kweli walionyesha citizen jinsi wageni walivo wengi kenya,
 
Duh...kama kuna mtu mwenye landcruiser safi ya tours anipm nimpe viwanja viwili saafi maana zitaoza tu uani
Nipo siriazz
 
Yaan akili ya Pomb@ anawaza usafiri wa ndege ndo unawazuia watalii kuja tz ...hebu tungoje hizo ndege tuone. ... ...
 
Mkuu mbona nimemsikia na kumuona kwenye TV akisema watalii wameongezeka? Au mimi nilikuwa nasikia kitu kingine? Nisaidie Mkuu
Mimi nilimsikia akisema wageni walioingia nchini wameongezeka, neno watalii sikulisikia. Kwa vile ni spinning doctor nikajua amejumlisha na wale wamalawi wanaokuja Tanzania, pamoja na wakenya, wazambia na wakongo wanaokuja kununua chakula. Huyu waziri na pamoja na yule mama wa Elimu ingawa wote wanatoka Kigoma ni majanga ya kitaifa
 
mimi ni mbongo na si mtalii , naishi yuropu ila flights za kutua shamba la bibi Dar siziwezi manake ni mara mbili ya kutua Nai Nai sasa ni kawaida yangu kila mwaka nikija home from yuropu huwa natua Nai nachukua Saibaba bus to Dar home na baadae narudi Nai na Saibaba yangu nachukua pipa the same day back to mbele! pale Nai eapoti huwa wananihoji wewe mtz unafuata nini huku kwetu , kwanini hujapitia kwenu shamba la bibi Dar na hii Azam Sembe na maharage umebeba ya nini, huwa nawachekesha tu nawapa chenji za Kenya zilizobaki manake sihitaji tena from that spot, nachukua flight natimka zangu mbele. huu ni ukweli kuwa flights za kutua bongo ni ghali mno na baadhi ya wabongo hatuziwezi na hatuzitumii sembuse watalii! manake si watalii tu hata sisi wabongo baadhi yetu tunapitia Nai Nai kuja home!huu ni ukweli practical! wahusika wafanye kitu it is sth real!

Asante Marry

Nai Nai ni Nairobi wajameni

Mawaziri na viongozi wetu ni waoga kufanya changes jamani

wanaimba viwanda viwanda, lakini hawana mikakati

Tanzania tumezoea slogan

Mwenyekiti wa TATO alimwambia Waziri Mkuu kuwa TTB na Wizara ya Mali Asili na Utalii wanapika data. Wanasema idadi ya watalii imeongezeka imefika 1.2 while wamejumlisha na wageni wengine wanaokuja kufanya biashara.

Ni Kweli idadi ya watalii haifiki million (ukihesabu watalii wenyewe)
 
hawa jamaa hawataki kukubali kuwa wameshindwa, sasa akatokea mojawapo katika hiyo sector akasema vingine hapo hapo anatumbuliwa,
 
Mkuu mbona nimemsikia na kumuona kwenye TV akisema watalii wameongezeka? Au mimi nilikuwa nasikia kitu kingine? Nisaidie Mkuu
Idadi ya watalii imeongezeka kidogo ila growth rate imeshuka ukilinganisha na miaka ya nyuma. Amewapumbaza watu kwa kutaja idadi ya watalii badala ya kutuambia growth rate ya sekta.
 
Back
Top Bottom