Rais Magufuli na kitabu cha siri

Jichawi kuu mshana jr ndo mhariri..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
acha porojo fanya kazi, eti kitabu cha siri au ni kama hiki changu cha kuandika nyanya, chumvi......
 

Pole pole Mkuu, usikimbilie sana mambo ya kuita wenzako wajinga. Ulichokiandika hapo juu hakionyeshi kama wewe ni mtu "smart" lakini tunaheshimu mawazo ya kila mtu. Na wewe wapaswa pia kuheshimu mawazo ya wenzako na kuacha kuwaita wajinga.
 
Nafikiri ni miongozo na taratibu za kuwa rais..hiki si kitabu cha siri bali ni mkataba ambao wanaopaswa kuufahamu ni wachache kwa kimombo inaitwa classified
Huo ndio ukweli na ndio maana hawezi kwenda kinyume na cccmm,kwani miongozo imeandaliwa na cccm, walichofanya wenzake ndicho atakachokifanya na yeye hawezi kwenda nje ya muongozo. kama ni mtu makini mwenye akili timamu utagundua mpaka sasa hatatui matatizo ya wananchi bali kutumia mbinu za kuwadanganya wananchi wakipende chama chake kiendelee kutawala, unasababisha tatizo,unalitatua unawaambia tumewasaidia, matatizo yote yamesababishwa na ccmmm na yeye ni mmoja wapo wa waliosababisha. na hawezi kuyaondoa kwani ndio njia ya wao kutawala na watoto wao, wakiyaondoa ndio mwisho wa wao na vizazi vyao kutawala na kuchukua mali za nchi
 
hicho kitabu ndo kinatumika kusaka sukari iliyofichwa kwenye maghala
 
Kumbe tusilaumu rais yoyote wala kumsifu kumbe ni kitabu cha siri kimemuongoza afanye hayo! Kelli dunia ina mambo!
kwa hiyo Kuapa hadharani kulinda katiba ni geresha kuna viapo vya siri kulinda kitabu cha siri
 
Mleta mada una logic sema hawatakuelewa mapema...
 
"...The function of the imagination is not to make strange things settled, so much as to make settled things strange...."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…