Rais Magufuli na CCM Mkutanoni!

Anatafuta kiki.
Yani jamaa ana mambo ya makusudi sanaa
 
Raisi wa JMTZ akifungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM, Ikulu yetu Dar!











(Picha kwa hisani ya blogu ya Michuzi!)

Kwa jinsi ninavyomjua Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim alivyo mwana Simba Sports mwenzangu tena wa Kindakindaki sina uhakika kama hiyo Nguo ya CCM aliyoivaa na iliyompendeza yenye Rangi za Klabu ya Yanga imemfurahisha na najua katika moyo wake ' amelaani ' sana tu ila hana la kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…