Rais Magufuli, mbona Majaliwa aliimba ana imani na Lowassa kulikoni ukamchagua kuwa Waziri Mkuu?

Mleta Mada ni mnafiki, Waziri Mkuu siyo mtu wa makundi, na siyo mnafiki kama huyo Mleta mada. anajitambua Waziri Mkuu wetu, na Mheshimiwa Rais Magufuli yuko makini sana. Mleta mada hauna adabu! Unataka kufinitisha tu.
 
Naamini unaongea kinyume chake. Kula like
 
Habari wanajamvi!

Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja.

Katika vikao vyake vilivyoisha Leo CCM imewafukuza baadhi ya Viongozi na wanachama wa Chama hicho, huku wengine wakionywa, kusamehewa na wengine wakitakiwa kujieleza.

Katika baadhi ya mambo nimegundua kuwa CCM wana PHD ya uongo na unafiki.

Uongo na unafiki wa CCM;

1. Kuna watu wameshutumiwa na kuwajibishwa kwa kuwa wali-support movement ya Mh Lowassa ndani ya CCM (Kabla ya kuhama Chama kwenda CHADEMA).

>Kama sababu hii ni ya msingi mbona Mh Majaliwa alikuwa ni mmoja wao na hajashutumiwa wala hajawajibishwa?

2. Kuna watu tunaambiwa kuwa wamesamehewa.

>Je hawa waliofukuzwa hawakupaswa kusamehewa?

>Nini kipo nyuma ya pazia kinachofanya wengine wasamehewe na wengine wasisamehewe?

3. Kuna watu wamepewa fursa ya kujieleza na kuomba msamaha.

>Je hawa waliofukuzwa kwa nini hawakupewa fursa hiyo?

4. Kuna watu wamesamehewa eti kwa sababu waliomba msamaha au na kukiri makosa yao.

>Hivi ni lini CCM wamewahi kutoa nafasi ya wanachama wake kuomba msamaha au na kukiri makosa yao?

>Je hao walioomba msamaha na kukiri makosa yao walijuaje kuwa wanawajibika kufanya hivyo?

Kwa haya machache naamini ndani ya CCM kuna watu wana PHD ya unafiki na uongo.
 
Kama sababu hii ni ya msingi mbona Mh Majaliwa alikuwa ni mmoja wao na hajashutumiwa wala hajawajibishwa?
Unaweza kututhibitishia mkuu....ushaidi mwingne away from that VIDEO CLIP????maana kama unatumia ushaidi wa VIDEO clip hata MSTAAFU KIKWETE alikuwa anaimba ana imani NA LOWASSA lakini mwisho wa siku wewe mwenyewe unaelewa nini kilitokea....
Kuna watu tunaambiwa kuwa wamesamehewa.
Si kila mtuhumiwa lazima atolewe kafara inategemea na wewe ulijitetea vipi kuwa shawishi wahusika juu ya tuhuma na ushaidi walio nao juu yako...
Kuna watu wamepewa fursa ya kujieleza na kuomba msamaha.
Una uhakika ya kuwa hao waliofukuzwa hawakupewa uo MUDA wa kujieleza?????CCM si chama cha kipuuzi kiasi hicho...kila mtu alijieleza ipasavyo na mwisho wa siku kwa busara za chama hivho ndicho walichoamua juu yao
Hivi ni lini CCM wamewahi kutoa nafasi ya wanachama wake kuomba msamaha au na kukiri makosa yao?
WEWE UNA UMWA UGONJWA UNAO ITWA UKOVI....
 
Tena hiyo PHD nasikia dunia muzima haipatikani mpaka uende Sayari ya Mars(yaani sio ya ki-sport sport).
 
Hebu tuweke issue ya Majaliwa pembeni & frame our question like this...

Ok Majaliwa hakuhusika tunakubali lakini baada ya ule mgomo baridi na baadhi ya wajumbe kutoka nje ni Emmanuel Nchimbi ndiye alizungumza na waandishi wa habari na kituoa malalamiko akina Sophia na wengine wakiwa pembeni kimya.

Sasa basi kwa nini mzungumzaji wa mgomo baridi apewe onyo tu tena bortion eti onyo kali alafu Sophia aliyekuwa pembeni asimamishwe uanachama?
 
Kama kuimba ule wimbo wa "Tuna imani Na Lowassa ndio Usaliti basi hakuna Asie msaliti ndani ya CCM kwani Wajumbe Wote wa Mkutano MKUU waliokuwemo Ukumbini waliimba hilo halina ubishi.Tusiwatoe kafara baadhi ya wanaccm Kwa kigezo cha usaliti Na chuki.Ni mwanaCCM gani anaweza kusema hakuimba ule wimbo?Kama mabadiliko haya ni Kwa sababu ya Ule Wimbo basi CCM mnajidanganya bado kuna maelfu ya wanaCCM Na Watanzania wana imani Na Lowassa.

Nategemea huu wimbo utashika chati namba moja kwenye vituo vya redio na TV mwezi huu
 
Hebu tuweke issue ya Majaliwa pembeni & frame our question like this...

Ok Majaliwa hakuhusika tunakubali lakini baada ya ule mgomo baridi na baadhi ya wajumbe kutoka nje ni Emmanuel Nchimbi ndiye alizungumza na waandishi wa habari na kituoa malalamiko akina Sophia na wengine wakiwa pembeni kimya.

Sasa basi kwa nini mzungumzaji wa mgomo baridi apewe onyo tu tena bortion eti onyo kali alafu Sophia aliyekuwa pembeni asimamishwe uanachama?
Wewe jamaaa hebu jiongeze kidogo tu...
Waliyosema kina Nchimbi na wenzie siku ile haikuwa usaliti Bali utovu WA nidhamu tu. Hivyo kama MTU aliishia palepale basi huyo alionywa tu.
Wasaliti hasa hawakuishia hapo waliendelea kuhujumu na kuvujisha siri kampeni za CCM. Mchana CCM, Usiku Chadema.
Yaani wapo waliolalamikia mchakato na baadae wakabakia waaminifu na watiifu na wakakitumikia chama. Tatizo ni wale wasaliti waliofikia hatua ya kukampenia upinzani kichinichini, kutoa siri za kampeni na kusaidia upinzani
 
Unaweza kututhibitishia mkuu....ushaidi mwingne away from that VIDEO CLIP????maana kama unatumia ushaidi wa VIDEO clip hata MSTAAFU KIKWETE alikuwa anaimba ana imani NA LOWASSA lakini mwisho wa siku wewe mwenyewe unaelewa nini kilitokea....

Si kila mtuhumiwa lazima atolewe kafara inategemea na wewe ulijitetea vipi kuwa shawishi wahusika juu ya tuhuma na ushaidi walio nao juu yako...

Una uhakika ya kuwa hao waliofukuzwa hawakupewa uo MUDA wa kujieleza?????CCM si chama cha kipuuzi kiasi hicho...kila mtu alijieleza ipasavyo na mwisho wa siku kwa busara za chama hivho ndicho walichoamua juu yao

WEWE UNA UMWA UGONJWA UNAO ITWA UKOVI....
1. Nashukuru kama umejua kuwa ushahidi wa PM kumshangilia Lowassa upo kwenye ile clip.

2. Nashukuru pia kwa kufahamu kuwa wale waliofukuzwa ni kafara.

3. Sasa nipe ushahidi wa wana CCM waliofukuzwa kupewa nafasi ya kuomba msamaha.
 
Hebu tuweke issue ya Majaliwa pembeni & frame our question like this...

Ok Majaliwa hakuhusika tunakubali lakini baada ya ule mgomo baridi na baadhi ya wajumbe kutoka nje ni Emmanuel Nchimbi ndiye alizungumza na waandishi wa habari na kituoa malalamiko akina Sophia na wengine wakiwa pembeni kimya.

Sasa basi kwa nini mzungumzaji wa mgomo baridi apewe onyo tu tena bortion eti onyo kali alafu Sophia aliyekuwa pembeni asimamishwe uanachama?
Hapo ndipo unafiki unapotamalaki.
 
1. Nashukuru kama umejua kuwa ushahidi wa PM kumshangilia Lowassa upo kwenye ile clip.

2. Nashukuru pia kwa kufahamu kuwa wale waliofukuzwa ni kafara.

3. Sasa nipe ushahidi wa wana CCM waliofukuzwa kupewa nafasi ya kuomba msamaha.
Naomba nrekekebishe swali namba 3. Kwenye swali hilo hatusemi kuomba msamaha.......ni hivi:-

3. Katika vikao vya maamuzi kama kile cha CCM katika maamuzi yao inabidi wafate kitu kinachoitwa "principles of natural justice" ambazo ni
- Right to be heard yaani haki ya kusikilizwa kwa mtuhumiwa......
- Reason for the decision..yaan lazma aelezwe kwa kina sababu za wao kufanya maamuzi ya kuwafukuza, na nyinginezo
Swali je CCM iliwapa watuhumiwa wao haki ya kusilikilizwa ambayo ni haki ya msingi kabisa katika ngazi ya maamuzi yoyote???
Je watuhumiwa walielezwa kinagaubaga sababu za wao kufukuzwa???
 
Mleta Mada ni mnafiki, Waziri Mkuu siyo mtu wa makundi, na siyo mnafiki kama huyo Mleta mada. Anajitambua Waziri Mkuu wetu, na Mheshimiwa Rais, ni mtu makini ambaye alifanya uteuzi huu kwa uhakika na kujiamini. Tuache majungu
Angalia video halafu ujibu swali. Aliimba au la, basi.
 
Back
Top Bottom