Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,584
Wengi wamekuchagua kama rais Wa watu NA pale uliposema tuchague srikali ya maguufuli NA sio ccm
binafsi nawiwa NA kazi nzuri unayoendelea NAyO ilansivibaya kutoa ushauri Wa bure
Serikaliya mstaafu wengi mawaziri walikuwa wakionekana majimbon siku za uchaguzi..wakionekana KWA wananchi karibu NA uchaguzi
Hii tabia ondoa mkuu umeweka mawaziri Wa wananchi NA sio Wa kusubiri uchaguzii..napendekeza wakazunguke mikoani waone shida NA dhahama wananchi wanapata NA wale wanaochangia hayo timua
Binafsi KWA moyo mkunjufu ukiacha swala LA meya Wa Dar nampongeza mh sana GEORGE SIMBA CHAWENE NA MH LUKUVI
Wamekuwa karibu sana NA wananchi NA kujua shida zao ...wapo watu wanalia mahakamani mh mwakyembe nendeni pelekeni takukuru mnafunga wasio NA hatia..mh RAIS ULIWAH SEMA NA NIKWELI WATU WANABAMBIKIZIWA KESI
HIVI VYAKULA MNANUNUA NINYI MAHAKIMU??AMJUI GARAMA ZA KUMLISHA MFUNGWA
ZIPO SHAURI KIBAO MH MWAKYEMBE AMBAZO AZIITAJI WATU WAFUNGWE ..WATU WAKAFANYE KAZI ZA JAMIII
ZIMEIBIWA MABILIION LEO WAHUSIKA WAKO HOSPT PALESTINA..HAWA WA MBUZJ NA KUKU KWANINI MSIWATAFUTIE WAFANYE KAZI ZA JAMII???
TUBADILIKE TWENDENI NA KASI YA DK MAGUFULI ANAEJARIBU KUMWANGUSHA ATUTOSITA KUMCHORA HUMU NA KILA ESEHEMU