Hatutaki wakimbizi.Peleka kule somalia wakachinjane huko.Watanzania halisi wapo wengi tu.Sidhani hata unafikia robo ya uzalendo wa Bashe ukiachilia mbali mchango wake katika taifa hili...bahati mbaya wewe hata kwenye familia yako hauna umuhimu ndio maana hata ukifariki leo ni sawa kufa kwa panya hakuna wa kustuka wala kukuzungumzia
Kweli Mkuu!!Yaan mkimbiz awe wazir?Akafie huko Somalia. Hivi watu wa jimbo analoongoza walikosa kabisa watu mpaka wakamweka msomali?Acha kumlinganisha nape na vitu vya kawaida huyo unaemtaja labda akawe waziri Somalia
Tuulize siye bashe kosa lake mlungula wa Lowassa aliyokuwa anapiga panga wajumbeHahahaa....Bashe hanaga zile za kujipendekeza pendekeza kama afanyavyo huyo kada mwingine....Bora abaki hivyohivyo ili awe HURU NA MAWAZO YAKE!!!
Ubaguzi huu. Bashe mnyamweziBashe mbona ni msomali so RAIA mzawa.
Bashe ni Mtanzani Mbona Rage na yy ni Msomali wa Tabora na alikuwa Mbunge ? Waache Ubaguzi Mbona wapo wabunge wanaojiita wazawa lakini hawatujaliKweli Mkuu!!Yaan mkimbiz awe wazir?Akafie huko Somalia. Hivi watu wa jimbo analoongoza walikosa kabisa watu mpaka wakamweka msomali?
eti?Alaf wew ukaambatana na nani?ahaaaaaaaaaa?Historia inamuandama ... Aliambatana na JIPU KUU LOWASA
sikulaumu huo ndio mwisho wako wa kudadavua issues..ww bado mgeni jforum..Kweli Mkuu!!Yaan mkimbiz awe wazir?Akafie huko Somalia. Hivi watu wa jimbo analoongoza walikosa kabisa watu mpaka wakamweka msomali?
Kingereza anajua isipokuwa kaamua kukiendeleza kiswahili kama Rais wa China anavyothamini Lugha Yao .Hivi Magu hajui kingereza au maneno ya watu?
Wewe unamuona Bashe na wengine wanamuona Nape,kila mtu anaona anavyona yeye,usitake kulazimisha mambo.Unavyoona wewe si ndivyo ninavyoona mimiAmani iwe juu yenu wakuu,
Nimejaribu kama kuweka comparison juu ya vijana hawa wawili wa CCM.
Ninajiuliza ni kigezo gani rais alichotumia kumchagua Nape kuwa Waziri kamili na kumuacha Bashe bado natafakari. Ikumbukwe Rais Magufuli alichelewa kutangaza baraza lake la mawaziri kwa madai anataka achague watu makini wa kufanya naye, kazi CCM inawabunge zaidi ya 200 hivyo Rais Magufuli alikuwa anachekecha mwenyewe kupata watu makini atakaofanya nao kazi.
Kuna kijana makini huyu ambaye anaitw Hussein Bashe ni moja kati ya mwanasiasa kijana ambaye yuko very smart, kwenye kujenga hoja ubunifu siwezi maliza sifa zake ila kiukweli kwenye masuala ya uongozi amekamilika kwa kweli japo inaweza isiwe 100% the way anavyochangia bungeni na kujenga hoja yupo vizuri CCM inabidi wamwangalie sana, anaweza kuwa hazina kwenye chama chao mbeleni.
Ninachojiuliza hivi kwanini Rais Magufuli hakumuona Bashe na kumuona Nape? wakati ukiwapima watu wawili hawa naona kama Bashe na Nape kuna utofauti mkubwa sana kiuwezo nawaza tu
Wewe ni msemaji wa ile nyumba nyeupe au ni buku 7 ktk kutafuta poshoKingereza anajua isipokuwa kaamua kukiendeleza kiswahili kama Rais wa China anavyothamini Lugha Yao .
Historia inamuandama ... Aliambatana na JIPU KUU LOWASA
Hivi Hon. Kinana ana asili ya mkoa gani vile?Bashe mbona ni msomali so RAIA mzawa.
haha umeua mkuuWewe ni msemaji wa ile nyumba nyeupe au ni buku 7 ktk kutafuta posho
Goli la mkonoKwa kazi waliyoifanya Kinana, Nape na JK kumuweka madarakani Magu, ingekuwa ni rahisi kumuacha Mwakyembe, Makamba, Mwigulu and the like kwenye nafasi ya uwaziri na sio Nape...
Hatuwezi kuongozwa na wageni .Yaan ww unashinda JF na ID fake na ww unataka kusupport wagen watawale nchi hii.Pole sn.Ungejua unaongea na nani wala usingejibu hii messagesikulaumu huo ndio mwisho wako wa kudadavua issues..ww bado mgeni jforum..
Una uhakika? Alisita tu kuhamia kile chama.Hahahaa....Bashe hanaga zile za kujipendekeza pendekeza kama afanyavyo huyo kada mwingine....Bora abaki hivyohivyo ili awe HURU NA MAWAZO YAKE!!!
Kumbe ni ngumu mtu wa aina kama ya Bashe kuwa waziri wa JPM?Bashe???awe waziri wa magufuli?acheni utani
Sana tu,asahau hiloKumbe ni ngumu mtu wa aina kama ya Bashe kuwa waziri wa JPM?
kwani ww unataka nin? huna lolote acha maigizo mkuu..kama vp kaungane na kina joti..mm sitishwiHatuwezi kuongozwa na wageni .Yaan ww unashinda JF na ID fake na ww unataka kusupport wagen watawale nchi hii.Pole sn.Ungejua unaongea na nani wala usingejibu hii message