Rais Magufuli kuuzima Mwenge Bariadi mkoani Simiyu

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,005
Rais John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa zitakayozofanyika Bariadi mkoani Simiyu, huku zikitanguliwa na maonyesho ya wiki ya vijana.

Hafla hiyo itafanyika tar.14.10.2016 ,pia itahudhuriwa na Mama Maria Nyerere na kutanguliwa na Ibada ya kumbukumbu ya kifo cha Mwl.Nyerere aliyekuwa Raisi wa kwanza wa JMT itafanyika katika kanisa la Mt.Yohana Mjini Bariadi.

Source: Mwananchi.
 
DK MAGUFULI KUUZIMA MWENGE BARIADI

Rais John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa zitakayozofanyika Bariadi mkoani Simiyu, huku zikitanguliwa na maonyesho ya wiki ya vijana.hafla hiyo itafanyika tar.14.10.2016 ,pia itahudhuriwa na Mama Maria Nyerere na kutanguliwa na Ibada ya kumbukumbu ya kifo cha Mwl.Nyerere aliyekuwa Raisi wa kwanza wa JMT itafanyika katika kanisa la Mt.Yohana Mjini Bariadi.

Source: Mwananchi.
 
tunakataa kufanya sherehe ya uhuru kwa kuwa ni gharama kubwa(bilioni 4)

tunawasha li MOTO tunakimbia nalo nchi nzima kulionyesha kwa watu kwa zaidi ya bilioni 10
 
Rais John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa zitakayozofanyika Bariadi mkoani Simiyu, huku zikitanguliwa na maonyesho ya wiki ya vijana.

Hafla hiyo itafanyika tar.14.10.2016 ,pia itahudhuriwa na Mama Maria Nyerere na kutanguliwa na Ibada ya kumbukumbu ya kifo cha Mwl.Nyerere aliyekuwa Raisi wa kwanza wa JMT itafanyika katika kanisa la Mt.Yohana Mjini Bariadi.

Source: Mwananchi.
Wakudadavua Jitahidi muandike hotuba jamani. Sijui litatoka tamko gani, naogopa!
 
tunakataa kufanya sherehe ya uhuru kwa kuwa ni gharama kubwa(bilioni 4)

tunawasha li MOTO tunakimbia nalo nchi nzima kulionyesha kwa watu kwa zaidi ya bilioni 10
Awali sherehe ya uhuru 4 bil, kuzima mwenge 10 bil jumla bil.14. Sasa hivi sherehe za uhuru 0 bil na mwenge 10 bil, jumla 10 bil. Kwa akili yako hapo hakuna serving.
 
Rais John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa zitakayozofanyika Bariadi mkoani Simiyu, huku zikitanguliwa na maonyesho ya wiki ya vijana.

Hafla hiyo itafanyika tar.14.10.2016 ,pia itahudhuriwa na Mama Maria Nyerere na kutanguliwa na Ibada ya kumbukumbu ya kifo cha Mwl.Nyerere aliyekuwa Raisi wa kwanza wa JMT itafanyika katika kanisa la Mt.Yohana Mjini Bariadi.

Source: Mwananchi.
Hivi ni zipi faida za mwenge kwa wananchi wa Tanzania ?
 
Back
Top Bottom