Rais Magufuli kutembelea China

venezuela yupo mchina na mrusi mambo ndo yanazidi kuharibika maana maduro hasikii la mtu kama alivokua mugabe
 
afu wachina wamejaa bongo hapa then unakwenda kutafuta wengine wa nini sasa !!
 
Hahab exim wa china sii aliwakataa akasema wanyonyaji haya najua hiyo ni kutembeza bakuli , akatoe bandari ya dar es salaam kama dhamana, tumeisha
Dawa ya deni ni kulipa mkuu.Mbona hata hapa nyumbani bank za CRDB,NMB nk.zina nadi mali za wadaiwa sugu?
 
Itabidi adungwe sindano ya usingizi masaa mawili kabla ya ndege kuruka ili akishtuka ajikute yuko Airport China anafunguliwa mlango. La sivyo betri itazima
Wewe ile ya kwako ilizima,maana inaelekea una uzoefu.
 
Unyonyaji wao ni nini mkuu,unataka kukopa bila kulipa?Hiyo haipo mahali popote.Uzuri wa mikopo yao ni kwamba there are no strings attached,tofauti na matapeli wa nchi za magharibi wanaotaka wanaune muoane kwanza.
 
Huko hata akiongea kisukuma watelewana tu, ila kwa wazungu hathubutu kutia mguu
Inaelekea unawahusudu sana Wazungu mkuu,mbona ni washenzi wa kutupa.They do not have any moral value.
 
Angalau sasa na ' Mabodigadi ' wake sasa nao wakaoshe kidogo macho huko Mashariki ya mbali Uchina ( China ) kwani ni ' Mabodigadi ' tu pekee wa Makamu Rais na Waziri Mkuu ndiyo kwa Awamu hii ya Tano wanasafiri ila wa Mheshimiwa Rais wao nadhani sasa wameshazoea ' domestic tour ' zao.
 
Mkuu fupisha habari,yaonekana unanadi safari ya Raisi Magu kwenda China wakati hata Ikulu haijui.
 
Ile kazi ya kunyoosha nchi amemaliza lakini? Maana alisema hatasafiri kwanza kwakua ana kazi ya kunyoosha nchi!


kashamaliza wakulima wamenyooshwa, wafanyakazi wamenyooshwa, wafanyabiashara wamenyooshwa, wanasiasa wamenyooshwa, wavuvi wamenyooshwa. wamebaki maraisi wastaafu nadhani akirudi nao ata wanyoosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…