Rais Magufuli kutembelea China

Upuuzi ni kuamini China sio mnyonyaji wa rasilimali barani Africa na Ulaya ndio wanyonyaji wa rasilimali hizo

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 
Well who said that? You?
Is not every tanzanian dream, what tanzania need is free economy.. one that they can enjoy and develop their country with.
And incase you didnt know.. socialism is a failed system.. even china changed it.. mixed it with demecracy.
Every Tanzanian dream is to have a socialist economy in our country and that's what our President thinks of. Go! Go mr.President and open the socialist world for us

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China kitaleta imani ya wafanyabiashara wa China, hivyo Tanzania itakuwa kwenye nafasi ya kunufaika zaidi
Tanzania imekaa kwenye nyonga ya Afrika ambako China inaweza kunufaika zaidi,”
Naukumbuka huu wimbo wa yule mvuta bangi wa Temeke wa Mgambo wanavyoruka na kukanyagana!!!!!! .
 
Ameona aende maeneo yasiyo na ung'eng'e ili kuficha Uwezo wa ung'eng'e ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha nakojoaaaa
Kama ambavyo akienda China hatalazimishwa kuzungumza kichina basi hata akienda Uingereza hatalazimishwa kuzungumza kiingereza. Jaribu kutumia akili!
 
No,it is not every Tanzanian dream to have a socialist economy again. It is your dream and other idiots who don't know where the global economy is coming from and where it is moving towards.
Every Tanzanian dream is to have a socialist economy in our country and that's what our President thinks of. Go! Go mr.President and open the socialist world for us

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 
Kaona aende kule ambako hataulizwa haki za binadamu.

Wasiokuwa na haja ya haki za binadamu ni pamoja na kina Tehran na Moscow.
 
Every Tanzanian dream is to have a socialist economy in our country and that's what our President thinks of. Go! Go mr.President and open the socialist world for us
Upuuz mtupu usocialist miaka hii
 
Ile kazi ya kunyoosha nchi amemaliza lakini? Maana alisema hatasafiri kwanza kwakua ana kazi ya kunyoosha nchi!
 
Ameona aende maeneo yasiyo na ung'eng'e ili kuficha Uwezo wa ung'eng'e ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha nakojoaaaa
Wewe mwenye kuujua ung'eng'e mbona unaishia kuandika pumba humu jukwaani?. Kingereza chako kinamsaidia vipi bibi au babu yako kule shamba?.
 
Hao wazungu mnaowaona kama vile ni watakatifu kila siku wanauana kwa kuchapana risasi mpaka wanaandamana kupinga silaha kuuzwa kama karanga mitaani.
 
Tena pamoja na kwamba uchumi wake ni mkubwa ukiifuatia wa Marekani.Uchumi wa Marekani unakua at a nominal 2.3% wakati wa China unakua at a rate of 6.6%,just behind India the fastest growing in the World at 7.3%.Kwangu ingekuwa ujinga kufungamana na uchumi ambao afterall una disintergrate.Going East is the right choice.
 
Ndiyo maana alimhamisha wizara waziri wa mambo nje, ili amreplace msiri wake Prof Kabudi, na huko tunaenda ku sign mikataba kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…