Rais Magufuli kupokea Taarifa ya Uhakiki wa vyeti feki vya Watumishi wa Umma

Kwa njaa ilivyotamalaki na bei ya vyakula ku sky rocket, sidhani kama Bashite katajwa.
Tutegemee walala hoi kama walimu na manesi kuondolewa lakini sio mtoto pekee anaempendeza Sizonje!!
 
Toka atuzingue na Bashite, habari zinazomuhusu mkuu huwa sina mood ya kuzisoma jamani, toka February hadi leo ni mwendo wa ku-skip tu
Hata kuangalia picha yake siwezi
 
Bashite bashite bashite, otherwise haina maana tena
Hapa kuja kitu cha kuhoji, je Bashite ni mwajiriwa serikalini..!? serikal haimtambuhi mtu huyo, pia yule mwenye jina halisi la Bashite tukumbuke jina lake la mwisho alienda kujipachika mahakaman, hivyo ktk system ya vyet kule hayupo....

sijui hili jambo lipo vip
 
Jambo zuri sana wamefanya, lakini je Bashite naye yumo? kama hayumo ni bora wakahakiki tena ili wajiridhishe and then wapeleke ripoti kamili zaidi!
Hawezi kuwepo maana hawajahakiki wakuu wa idara za serikali au wateule wa raisi yaani wakuu wa kuteuliwa na serikali maana walishakaguliwa na wizara husika ya TAMISEMI
 
Miye nahoji ikiwa wenye vyeti feki wote tayali systeam imewatema hiyo tarifa mh anapewa ili aifanyie nini maana nasikia ulikuwa ukibainika tu mda huo huo ukikosa maelezo ta kutosha basi kazi huna ina maana hiyo tarifa utekekezaji wake tayali umefanyika au miye sielewi ebu nijuzeni wadau
 
Hapo maana yake Yale yote aliyozuia mkuu kama kupandishwa vyeo watumishi ,kuongeza mishahara na kuajili baada ya kupokea riport huenda akatoa zuio lake ,nahisi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…