Rais Magufuli kufanya ziara ya kikazi Dar kuanzia Februari 24

Ujenzi wa Soko la kisasa Kisutu majira ya saa 03:30 Asubuhi
Bado masoko yanajengwa katikati ya mji badala ya kupeleka nje ili kupunguza msongamano, nilidhani mpango wa sasa ni kujenga Kariakoo nyingine Mbezi Luis, Tegeta, Mbagala, Kigamboni, Tabata na Gongolamboto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…