Rais Magufuli kuanza ziara mkoani Iringa

Rais Magufuli kuanza ziara mkoani Iringa

tutashukuru kama atapitia mtera hapa tumkum bushe aliwaagiza halmashauri ya Mpwapwa mwaka Jana kuanza ujenzi wa kituo cha afya kwenye majengo yalioachwa na wachina lakini hakuna utekelezaji wowote mpaka sasa japo Ku na tetesi kwamba mbunge wetu simbachawene anahakikisha hakitajengwa kituo cha afya yeye anataka ijengwe. veta.
 
Back
Top Bottom