Yani naona tu hyo Wizara imepoza flani hivi tofauti na awamu iliyopita ujue hyo Wizara ni muhimu.mkuu unataka mahiga awe mchangamfu kama ametiwa ndimu ya mchina?
yani arukeruke kama bisi motoni au awe mapepe kama joti?
kabla jiwe hajateua mawaziri watu walisuggest makamba apewe hiyo wizara lakini kitu nilichogundua hapo anahitajika tiss nguliYani naona tu hyo Wizara imepoza flani hivi tofauti na awamu iliyopita ujue hyo Wizara ni muhimu.
Na January angeiweza hyo Wizara ni kijana bado ana maono makubwa aisee maana hyo Wizara ikilala hata mahusiano yetu kimataifa yamezorota, yani tumepoteza ushawishi wote tuliokuwa nao hapo nyuma.kabla jiwe hajateua mawaziri watu walisuggest makamba apewe hiyo wizara lakini kitu nilichogundua hapo anahitajika tiss nguli
sadly inaonekana wamebaki wachache,tuombe muumba asije akapewa bashite hiyo wizara
si unajua akili za yule mtu ni kama kichaa kichaa na anachagua vichaa wenzake
ila mahusiano yetu kimataifa anayechangia kwa kiasi kikubwa kuyaua ni prezidaaNa January angeiweza hyo Wizara ni kijana bado ana maono makubwa aisee maana hyo Wizara ikilala hata mahusiano yetu kimataifa yamezorota, yani tumepoteza ushawishi wote tuliokuwa nao hapo nyuma.
Apewe Bashite mhhj hawezi hata chembe inatakiwa mtu mwenye exposure na timamu aisee huyo abaki tu kwenye vyeo vya kisiasa huko
Hapa alifaidi mno dadeq.
Kashakula demu wake yuko ana haja gan tena?
Sasa hv yupo kwa Dc.
Yani tumeooteza influence kabisa Raisi kutokutoka hata wawekezaji na kuja inakuwa ngumu mno sasa Kigali tumezidiana tu level ya umaskiniila mahusiano yetu kimataifa anayechangia kwa kiasi kikubwa kuyaua ni prezidaa
akisafiri mbali ni kigali tena kwa vx kupitia chato
rais ni alama ya nchi,yeye ndio wa kulaumiwa
Unamjua vizuri Waziri wa hiyo Wizara lakini?kabla jiwe hajateua mawaziri watu walisuggest makamba apewe hiyo wizara lakini kitu nilichogundua hapo anahitajika tiss nguli
sadly inaonekana wamebaki wachache,tuombe muumba asije akapewa bashite hiyo wizara
si unajua akili za yule mtu ni kama kichaa kichaa na anachagua vichaa wenzake
najua kuwa ni wa suti nyeusi lakini wadau wanasema kapooza sanaUnamjua vizuri Waziri wa hiyo Wizara lakini?
Sasa kama mzoefu na "nguli" hali ndiyo hiyo, unadhani kijana hali itakuwaje mkuu?najua kuwa ni wa suti nyeusi lakini wadau wanasema kapooza sana
anahitajika kijana,lakini sio akili dizaini ya bashite,muro,gambo au hapi
hapa swala ni uchangamfu kama wa membe ndio haupoSasa kama mzoefu na "nguli" hali ndiyo hiyo, unadhani kijana hali itakuwaje mkuu?
Muro Gambo sijui nani watatufanya tuonekane ni taifa la vichaa hivi wataongea nini kwenye international platform aisee, maana hawajui kitunajua kuwa ni wa suti nyeusi lakini wadau wanasema kapooza sana
anahitajika kijana,lakini sio akili dizaini ya bashite,muro,gambo au hapi
Nadhani huyu kuna kitu kinamnyima Uhuru wa kufanya kazi si bureSasa kama mzoefu na "nguli" hali ndiyo hiyo, unadhani kijana hali itakuwaje mkuu?
Membe Ali jiamini mno aisee Wizara ikashine mno, huyu Maige mzoefu wa kimataifa ila kapoa sana aisee hata huyo naibu mteuliwa sijui atakuja na jipya lipi.hapa swala ni uchangamfu kama wa membe ndio haupo
may be hapati sapoti ya boss juu
Hizi lugha zina ukakasi kwelikweli, bora angekuwa anatengua anamwambia mwenyewe inatosha. Naiona kama haiku sawa hii."Nilitaka Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Prof Adolf Mkenda na yeye nimuondoe kabisa, lakini anabahati kukawa na nafasi iliyowazi Wizara ya Maliasili na Utalii nikampeleka huko. Naamini atakuwa amejifunza na atafanya kazi nzuri."