Rais Magufuli: Kama balozi atakaa miezi sita bila kuleta ripoti ya alichokifanya ntamtumbua

cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
19,066
2,000
mkuu unataka mahiga awe mchangamfu kama ametiwa ndimu ya mchina?
yani arukeruke kama bisi motoni au awe mapepe kama joti?
Yani naona tu hyo Wizara imepoza flani hivi tofauti na awamu iliyopita ujue hyo Wizara ni muhimu.
 
nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
14,731
2,000
Yani naona tu hyo Wizara imepoza flani hivi tofauti na awamu iliyopita ujue hyo Wizara ni muhimu.
kabla jiwe hajateua mawaziri watu walisuggest makamba apewe hiyo wizara lakini kitu nilichogundua hapo anahitajika tiss nguli
sadly inaonekana wamebaki wachache,tuombe muumba asije akapewa bashite hiyo wizara
si unajua akili za yule mtu ni kama kichaa kichaa na anachagua vichaa wenzake
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
19,066
2,000
kabla jiwe hajateua mawaziri watu walisuggest makamba apewe hiyo wizara lakini kitu nilichogundua hapo anahitajika tiss nguli
sadly inaonekana wamebaki wachache,tuombe muumba asije akapewa bashite hiyo wizara
si unajua akili za yule mtu ni kama kichaa kichaa na anachagua vichaa wenzake
Na January angeiweza hyo Wizara ni kijana bado ana maono makubwa aisee maana hyo Wizara ikilala hata mahusiano yetu kimataifa yamezorota, yani tumepoteza ushawishi wote tuliokuwa nao hapo nyuma.

Apewe Bashite mhhj hawezi hata chembe inatakiwa mtu mwenye exposure na timamu aisee huyo abaki tu kwenye vyeo vya kisiasa huko
 
ila mahusiano yetu kimataifa anayechangia kwa kiasi kikubwa kuyaua ni prezidaa
akisafiri mbali ni kigali tena kwa vx kupitia chato
rais ni alama ya nchi,yeye ndio wa kulaumiwa
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
19,066
2,000
ila mahusiano yetu kimataifa anayechangia kwa kiasi kikubwa kuyaua ni prezidaa
akisafiri mbali ni kigali tena kwa vx kupitia chato
rais ni alama ya nchi,yeye ndio wa kulaumiwa
Yani tumeooteza influence kabisa Raisi kutokutoka hata wawekezaji na kuja inakuwa ngumu mno sasa Kigali tumezidiana tu level ya umaskini
 
Dan Zwangendaba

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
2,780
2,000
kabla jiwe hajateua mawaziri watu walisuggest makamba apewe hiyo wizara lakini kitu nilichogundua hapo anahitajika tiss nguli
sadly inaonekana wamebaki wachache,tuombe muumba asije akapewa bashite hiyo wizara
si unajua akili za yule mtu ni kama kichaa kichaa na anachagua vichaa wenzake
Unamjua vizuri Waziri wa hiyo Wizara lakini?
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
19,066
2,000
hapa swala ni uchangamfu kama wa membe ndio haupo
may be hapati sapoti ya boss juu
Membe Ali jiamini mno aisee Wizara ikashine mno, huyu Maige mzoefu wa kimataifa ila kapoa sana aisee hata huyo naibu mteuliwa sijui atakuja na jipya lipi.
 
JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,852
2,000
Kumbe kachoka kutumbua?? Wapinzani hawakukosea kusema ni nguvu ya soda, huku ni kukili udhaifu maana inaonesha kutumbua hakukuwa na tija kwa Taifa.
 
Shuleless

JF-Expert Member
Aug 12, 2015
4,908
2,000
"Magufuli ni cross breed ya Sokoine na Mrema, Sokoine alikua hafuati sheria Mrema alikua mtu wa kuvamia vamia na makamera" - Lissu
 
goodluck5

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
4,792
2,000
katika hili namuunga mkono Ngosha kwa asilimia 100...hakika kuna mabalozi huko nje ya nchi tunawalipa mishahara huku hakuna chochote wanachotufanyia kama taifa, hawana tija yoyote bora kufunga hizo balozi.
 
pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
13,040
2,000
"Nilitaka Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Prof Adolf Mkenda na yeye nimuondoe kabisa, lakini anabahati kukawa na nafasi iliyowazi Wizara ya Maliasili na Utalii nikampeleka huko. Naamini atakuwa amejifunza na atafanya kazi nzuri."
Hizi lugha zina ukakasi kwelikweli, bora angekuwa anatengua anamwambia mwenyewe inatosha. Naiona kama haiku sawa hii.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom