huyu rais akifanya haya yote huo moyo si utachoka na kusinziaPamoja na tamko lako mh rais JPM,rais wa Wanyonge kwamba Mwekezaji mzawa wa Coco Beach asinyanyaswe lakini bado ameendelea kuzungushwa na manispaa ya Kinondoni imefika sehemu wanampa mkataba kisha wanaenda kuukana mahakamani,wanampa mkataba tena wao wenyewe wanasema hawautambui.
Nakuomba mh rais ingilia kati hili jambo ili huyu mnyonge apate haki kwa wakati.
Pia serikali ianze kupata kodi yake kwa kumpa mkataba mara moja kuliko huu ubabaishaji wanaoufanya hapa manispaa ya Kinondoni.
Watendaji aliowateua hawafanyi kazi zao ,wamekumbatia rushwa tuhuyu rais akifanya haya yote huo moyo si utachoka na kusinzia
Kwani jamaa bado ana nguvu ya kununua watu tu serikalini?hahaha Manji amezaliwa na kuishi bongo miaka yote ila hakuwahi KUKARIBISHWA Bongo, Dar Si Salama... sasa wadau ndo wameamua kumkaribisha rasmi... karibu dar si salama a.k.a mzizima
Mnyonge Manji?Pamoja na tamko lako mh rais JPM,rais wa Wanyonge kwamba Mwekezaji mzawa wa Coco Beach asinyanyaswe lakini bado ameendelea kuzungushwa na manispaa ya Kinondoni imefika sehemu wanampa mkataba kisha wanaenda kuukana mahakamani,wanampa mkataba tena wao wenyewe wanasema hawautambui.
Nakuomba mh rais ingilia kati hili jambo ili huyu mnyonge apate haki kwa wakati.
Pia serikali ianze kupata kodi yake kwa kumpa mkataba mara moja kuliko huu ubabaishaji wanaoufanya hapa manispaa ya Kinondoni.
Ana unyonge gani huyo jamaa?Mnyonge Manji?
Sasa manji akiwa mnyonge sie akina Yaheeeh nao si itakuwa balaa.....hii nchi bwana....hata aje nan kuiongoza figisu haziwez kukosaa axeeManji ndiyo mnyonge mwenyewe?,aisee..
Meya alitatua kwa maazimio yapi?Meya Alisolve hiki kitu credit akachukua mwingine na mbuzi wote wa uswahilini hawakujua kama ile battle ilianzia mbali, leo tena analiliwa raisi kwa kua meya hakutajwa kwenye tukio zima. Hata mleta uzi kavuka ngazi nyingi mpaka kamfuata raisi.
Rushwa ni adui wa haki, atakuwa anapokea rushwa pengine,ngoja mwenye mamlaka nae amsaidie kazi aliyompa afanyeDuuh sasa kila kitu rais ndio afanye? Mbona fitina zimezidi ......huyo Mkurugenzi wa Kinondoni anafanya nin? Yaan mpaka mkuu wake wa kaz aingilie?? Aisee kaz ipo na tunayo kweli watz
Unaongea nini wewe Raisi amesema kila kitu lazima aulizwe yeye... Sasa wewe kwako ni shida akipewa maagizo na wana nchi? Au unafikiri Kazi yake ni kuvaa suti tu? Anywaw pale coco ni pa ovyo sana bidhaa bei juu risiti hamna so majizi tu nilienda kununua clips naambiwa huku Jero wakati before kabla ya blah blah ilikuwa buku nimenunua sana ila kwa sasa basi na paki ni pesa tena bora waende hao hao Wa Manzese wenye uwezohuyu rais akifanya haya yote huo moyo si utachoka na kusinzia
DuuPamoja na tamko lako mh rais JPM,rais wa Wanyonge kwamba Mwekezaji mzawa wa Coco Beach asinyanyaswe lakini bado ameendelea kuzungushwa na manispaa ya Kinondoni imefika sehemu wanampa mkataba kisha wanaenda kuukana mahakamani,wanampa mkataba tena wao wenyewe wanasema hawautambui.
Nakuomba mh rais ingilia kati hili jambo ili huyu mnyonge apate haki kwa wakati.
Pia serikali ianze kupata kodi yake kwa kumpa mkataba mara moja kuliko huu ubabaishaji wanaoufanya hapa manispaa ya Kinondoni.
Aisee watumbuliwe tu hawa maana hawaeleweki wanasabisha serikali inakosa mapato bure kwa uzembe wa watu wa wawili ndani ya manispaaManji alishakataliwa iweje tena limezuka mnapima upepo?!!!Magufuli tumbua hao wahusika.