mkafrend
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,047
- 1,503
WanaJF, salaam!
Kiukweli katika ziara ya Mhe. Ummy Mwalimu mkoani Kagera nimekubali kuwa rais wetu hakukosea uteuzi wake. Ni mwanamama mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja, kusisitiza jambo na anaielewa vema wizara anayoingoza. Ninachoomba watumishi na watendaji wa MSD hakikisheni mnasimamia kidete uwepo na upatikanaji wa dawa za binadamu ili wizara hii kabla ya uchaguzi ujao iwe imejiimarisha.
Kila mtanzania ahakikishe ajirejista kwenye bima ya afya ili kupunguza uwezekana wa kukosa matibabu katika hospitali zetu. Nimempongeza Mhe. Ummy kwa jinsi alivyomkaribisha Mbunge lwakatare (MB) katika meza kuu.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI