tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,307
- 4,585
Huwa naumia sana, majirani wasemapo:
Mlima Kilimanjaro upo kwao.
Sasa Olduvai Gorge ipo kwao pia.
Na hata Diamond Platinum ati anatoka kwao.
Bado kidogo tu watasema Magufuli mtu wao.
Huwa najiuliza, wale wazee wa mamlaka za utalii, wanafanya nini kuutangaza utalii wetu? Wamewajaza watu waliokula siku zao wakashiba, wengine wakiwa mabalozi, na sasa hawana hata motivation.
Wawekeni vijana wabunifu, style za akina Nehemiah Mchechu; wasaidie kuongeza pato la Taifa kupitia utalii.
Nani atuamshe kwenye huu usingizi mzito?!!!!