Wewe pia ni mwanasheria,unaongeleaje sheria zinazoongoza masuala ya Baraza la mitihani,vyeti feki,nazo pia uliziangalia kabla ya kupost?Mwaka 2013 Gazeti la Jamhuri lilichapisha Habari ya Uchunguzi juu ya uharibifu wa Barabara na wakati huo aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ambaye sasa ni Rais wa Tanzania alimkatalia Waziri Mkuu wawakati huu Mizengo Pinda uzito wa Magari usizidi.
Alisema Sheria ndiyo isimamiwe na ameendelea na msimamo wake hadi sasa. Naamini hata mawaziri wengine wataiga mfano huu.
Wakisimamia Sheria, ipo siku Watanzania watawakumbuka.
BalileView attachment 495231
Oyeeeeeeeeeeee.........Naikumbuka hiyo
Hapa kazi tu
Magufuli oyeeeee
Mwaka 2013 Gazeti la Jamhuri lilichapisha Habari ya Uchunguzi juu ya uharibifu wa Barabara na wakati huo aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ambaye sasa ni Rais wa Tanzania alimkatalia Waziri Mkuu wawakati huu Mizengo Pinda uzito wa Magari usizidi.
Alisema Sheria ndiyo isimamiwe na ameendelea na msimamo wake hadi sasa. Naamini hata mawaziri wengine wataiga mfano huu.
Wakisimamia Sheria, ipo siku Watanzania watawakumbuka.
BalileView attachment 495231
Wananchi hakikisha kama una janaba usianzishe thread JF hadi utakapooga na kupiga dua ya kuondoa janaba, vinginevyo utapost utumbo tu
Mkuu Balie, kusimamia sheria ni kitu chema sana kama uko chini na unadai haki pale unapoonewa.
Lakini inapofika ukawa wewe uliyekuwa unakandamizwa unakepewa rungu la kuisimamia sheria hiyo hiyo ili kutenda haki, hapo ndipo tunapojua rangi zako hasa.
Kwa sasa ni ngumu sana kwa Mukulu kusimamia sheria, anaisigina sana katiba ya nchi, kuliko hata watangulizi wake.
Idara zake zimegeuka za kuteka na kutesa raia.
Inasikitisha sana.
Ila chadema kina ujasiri wa pekee sana, mnamtaja Magufuli aliyekuwa waziri wa kawaida kauza nyumba za serikali huku aliyekuwa boss wake Sumaye mkimtetea mpaka meno njano ya kishumundu yanatoa jasho.Mkurupukaji na kanjanja tu huyo......Usinikumbushe hatuna ya wale samaki jodari na uuzwaji nyumba za serikali....
Ccm ni ukoo wa panya tu
Ukiulizwa ni kifungu gani cha katiba kavunja, utasikia KAKATAZA MIKUTANO YA KISIASAMkuu Balie, kusimamia sheria ni kitu chema sana kama uko chini na unadai haki pale unapoonewa.