Rais Magufuli enzi za Uwaziri wake...

Balile

Member
Oct 10, 2011
74
140
Mwaka 2013 Gazeti la Jamhuri lilichapisha Habari ya Uchunguzi juu ya uharibifu wa Barabara na wakati huo aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ambaye sasa ni Rais wa Tanzania alimkatalia Waziri Mkuu wawakati huu Mizengo Pinda uzito wa Magari usizidi.

Alisema Sheria ndiyo isimamiwe na ameendelea na msimamo wake hadi sasa. Naamini hata mawaziri wengine wataiga mfano huu.

Wakisimamia Sheria, ipo siku Watanzania watawakumbuka.

Balile
IMG_20170413_173734.jpg
 
BalileView attachment 495231
Wewe pia ni mwanasheria,unaongeleaje sheria zinazoongoza masuala ya Baraza la mitihani,vyeti feki,nazo pia uliziangalia kabla ya kupost?
 
Sheria no Msumeno......kwa bahati mbaya hakuna waziri yeyote anayeweza kumgomea sio waziri mkuu tu .... hata huyu anayeitwa MAKONDA...Mkuu wa mkoa wa TANZANIA.....

Kumaanisha kuwa hakuna utawala bora katika utawala wa sasa....
 
Mkuu Balie, kusimamia sheria ni kitu chema sana kama uko chini na unadai haki pale unapoonewa.
Lakini inapofika ukawa wewe uliyekuwa unakandamizwa unakepewa rungu la kuisimamia sheria hiyo hiyo ili kutenda haki, hapo ndipo tunapojua rangi zako hasa.

Kwa sasa ni ngumu sana kwa Mukulu kusimamia sheria, anaisigina sana katiba ya nchi, kuliko hata watangulizi wake.
Idara zake zimegeuka za kuteka na kutesa raia.

Inasikitisha sana.
 
Mwaka 2013 Gazeti la Jamhuri lilichapisha Habari ya Uchunguzi juu ya uharibifu wa Barabara na wakati huo aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ambaye sasa ni Rais wa Tanzania alimkatalia Waziri Mkuu wawakati huu Mizengo Pinda uzito wa Magari usizidi.

Alisema Sheria ndiyo isimamiwe na ameendelea na msimamo wake hadi sasa. Naamini hata mawaziri wengine wataiga mfano huu.

Wakisimamia Sheria, ipo siku Watanzania watawakumbuka.

BalileView attachment 495231
tapatalk_1492061866227.jpeg

Naona bado anasimamia sheria hiyohiyo ili kulinda/kuitunza barabara kwa kuikwepa kama hivi.....
 
Mkuu Balie, kusimamia sheria ni kitu chema sana kama uko chini na unadai haki pale unapoonewa.
Lakini inapofika ukawa wewe uliyekuwa unakandamizwa unakepewa rungu la kuisimamia sheria hiyo hiyo ili kutenda haki, hapo ndipo tunapojua rangi zako hasa.

Kwa sasa ni ngumu sana kwa Mukulu kusimamia sheria, anaisigina sana katiba ya nchi, kuliko hata watangulizi wake.
Idara zake zimegeuka za kuteka na kutesa raia.

Inasikitisha sana.

Kama nimemwelewa, mleta uzi anawataka mawaziri na watendaji waliopo chini ya Mkulu wasimamie sheria , waache unafiki na kujipendekeza kwa kusema uwongo (au kunyamaza hali ukweli wanaujua)
 
Mkurupukaji na kanjanja tu huyo......Usinikumbushe hatuna ya wale samaki jodari na uuzwaji nyumba za serikali....
Ccm ni ukoo wa panya tu
Ila chadema kina ujasiri wa pekee sana, mnamtaja Magufuli aliyekuwa waziri wa kawaida kauza nyumba za serikali huku aliyekuwa boss wake Sumaye mkimtetea mpaka meno njano ya kishumundu yanatoa jasho.
 
Mkuu Balie, kusimamia sheria ni kitu chema sana kama uko chini na unadai haki pale unapoonewa.
Lakini inapofika ukawa wewe uliyekuwa unakandamizwa unakepewa rungu la kuisimamia sheria hiyo hiyo ili kutenda haki, hapo ndipo tunapojua rangi zako hasa.

Kwa sasa ni ngumu sana kwa Mukulu kusimamia sheria, anaisigina sana katiba ya nchi, kuliko hata watangulizi wake.
Idara zake zimegeuka za kuteka na kutesa raia.

Inasikitisha sana.
Ukiulizwa ni kifungu gani cha katiba kavunja, utasikia KAKATAZA MIKUTANO YA KISIASA

Wanasiasa na wafuasi wao wote ni pimbi tu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom