Sijakuelewa mkuu, una maanisha kimefanyika kama cha Nyerere yeye kuamua change iweje bila kuzingatia hali halisi ya uchumi? Kama ndiyo mbona mabeberu kipindi kile waliingilia kati hadi mwl akasalimu amri katika hili sasa iweje leo wakae kimya?It has been fixed.
Mabeberu et!!?Sijakuelewa mkuu, una maanisha kimefanyika kama cha Nyerere yeye kuamua change iweje bila kuzingatia hali halisi ya uchumi? Kama ndiyo mbona mabeberu kipindi kile waliingilia kati hadi mwl akasalimu amri katika hili sasa iweje leo wakae kimya?
Wanatafutana teuzi, hivyo basi wapo kwenye ibada ya kusifu na kuabudu.Yan hapo imekuwa stable!!??
Ilipanda kwa 300/= kwa miaka 10, yaani 2005 ($1=tsh1200) hadi 2015 ($1=tsh1500)
Tangu 2015 umepanda kwa tsh800, yaan 2015 ($1=tsh1500) hadi 2020 ($1=tsh2300)
Sasa na wew tusaidie huo u-stable lioufanya JPM na BOT ni upi???
Yan hapo imekuwa stable!!??
Ilipanda kwa 300/= kwa miaka 10, yaani 2005 ($1=tsh1200) hadi 2015 ($1=tsh1500)
Tangu 2015 umepanda kwa tsh800, yaan 2015 ($1=tsh1500) hadi 2020 ($1=tsh2300)
Sasa na wew tusaidie huo u-stable lioufanya JPM na BOT ni upi???
2015 nakumbuka usd ilienda hadi 1700 kama sio 1650. Ila nimekiri kuwa mwanzoni mwa utawala wa Jpm usd ilipanda sana ndio maana nikasema toka iliposhuka kuwa 2270 hadi kuwa 2300 ni miaka kama minne kasoro nadhani, sasa nauliza kipi wamefanya kwenye hii miaka mitatu na uchafu? Ndio swali langu liko hapo mkuuYan hapo imekuwa stable!!??
Ilipanda kwa 300/= kwa miaka 10, yaani 2005 ($1=tsh1200) hadi 2015 ($1=tsh1500)
Tangu 2015 umepanda kwa tsh800, yaan 2015 ($1=tsh1500) hadi 2020 ($1=tsh2300)
Sasa na wew tusaidie huo u-stable lioufanya JPM na BOT ni upi???
Well said hata wasio na uelewa wakisoma hapa wanaelewaKimbuka pia katika kudhibiti hili ofisi nyingi za kubadili pesa za kigeni (Bureau de Change) zilifungwa na watu wengi hasa wanasiasa walilalama sana. Hilo ilikuwa ni mojawapo ya njia kukabili hili kwani utakatishaji fedha ulifanyika kwa kiasi kikubwa katika maduka hayo...
Tuambie tafadhaliUnajua kwa nini Bureua De Change zilifungwa?
Kuna mambo mawili, moja kati ya hayo lina ukweli2015 nakumbuka usd ilienda hadi 1700 kama sio 1650. Ila nimekiri kuwa mwanzoni mwa utawala wa Jpm usd ilipanda sana ndio maana nikasema toka iliposhuka kuwa 2270 hadi kuwa 2300 ni miaka kama minne kasoro nadhani, sasa nauliza kipi wamefanya kwenye hii miaka mitatu na uchafu? Ndio swali langu liko hapo mkuu
Na wewe muongo.Yan hapo imekuwa stable!!??
Ilipanda kwa 300/= kwa miaka 10, yaani 2005 ($1=tsh1200) hadi 2015 ($1=tsh1500)
Tangu 2015 umepanda kwa tsh800, yaan 2015 ($1=tsh1500) hadi 2020 ($1=tsh2300)
Sasa na wew tusaidie huo u-stable lioufanya JPM na BOT ni upi???
Aaah,Tulia utafurahi baadae dunia haingozwi Kwa ubabe na vitisho Ila inaongozwa Kwa nguvu ya demand and supply. Just FYI BOT tuna audit wenyewe nayanayo endelea humo wanajuwa wenyewe. Requirement ya world Bank and IMF ni kwamba BOT iwe audited na independent auditor kwasababu huwezi tumia mwenyewe nakujikaguwa mwenyewe nakusoma report mwenyewe. Kiufupi baadae Sana tutachekea chooni nakulilia bafuni. Naipenda Tanzania Ila I say no for other policies we introduce