WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 947
Mheshimiwa rais mchawi katiba juhudi zako zote katika awamu yako utapomaliza muda wako na akija mwingine kama awamu iliyopita hizi juhudi zako zitapotea badilisha mifumo ya serikali na katiba pia ili tuzidi kusonga mbele na sio kurudi nyuma.
Uchumi wa serikali awamu ya tatu ulididimia kwenye serikali awamu ya nne kwa sababu ya mifumo mibovu na katiba mbovu. Hatuwezi kupata marais kama wewe awamu zote watakuja wapole kama wamu iliyopita, kuepukana na yote mifumo ibadilishwe na katiba pia.
Mchakato wa katiba mpya tuliupanga, tukaugharamia na tukauweka kwenye dira yetu kama Taifa.