Rais Magufuli azindua uwanja wa ndege za kivita uliokarabatiwa wa Ngerengere

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,292
Uwanja wa ndege huo wa Ngerengere ulijengwa mara ya kwanza mwaka 1970 na kuanza ukarabati mkubwa mwaka 2013, kwa mujibu wa taarifa ya ikulu, uwanja huo umetumia jumla ya shilingi bilioni 137 na milioni 631
Hongera sana mheshimiwa rais, na makamanda wote wa Jeshi la Wananchi kwa kazi nzuri

IMG-20170306-WA0030.jpg
IMG-20170306-WA0029.jpg
 
Sasa uwanja wa ndege wa kivita wa nini na antonov zetu na mig21
Kitukuu

Hahahaha uwe tu wa kiraia
 
Uwanja sawa, lakini haya matumizi ambayo yeye anaidhinisha popote anapokuwa yamekubaliwa na nani? Amekuwa mwidhinishaji mkuu wa matumizi ya fedha zetu? Chonde chonde sheria ziheshimiwe!!
 
Sasa tumeishiwa kwa kutaka sifa.
Kutangaza military installations ni kujidhoofisha

Unajidhoofisha kivipi wakati uwanja unajulikana siku zote?

Lakini kujitangaza kunasaidia kutuma message kwa maadui zetu kuwa tuko vizuri
 
Naam, Sifa zote kwa Kikwete. Ingekuwa leo, kwa bifu walilokuwa nalo Wachina la kunyang'anywa tonge mdomoni la kujenga bandari ya Bagamoyo na Reli ya Kati kwa kiwango cha standard gauge, wala wasingethubutu kujenga huo uwanja wa ndege za kivita wa Ngerengere.
 
Hongera mh rais dk magufuli kwa kuzindua na hongera sana rais mstaafu dk jakaya mrisho kikwete kwa ujenzi huu wa uwanja wa ndege vita.
Hongera pia zimfikie CDF mstaafu general devis adolf mwamunyange.
Hongera sana JWTZ,hongera Tanzania.
Kazi nzuri
 
Unajidhoofisha kivipi wakati uwanja unajulikana siku zote?

Lakini kujitangaza kunasaidia kutuma message kwa maadui zetu kuwa tuko vizuri
Mkuu, umewahi kusikia Kenya, Uganda na Rwanda wametangaza vya kwao?
Usidhani hawana. Wanavyo tena Airforce ya Kenya ni bora kuliko yetu kwa takwimu za CIA.
Mkiingia vitani inakuwa target ya kwanza ku paralyze Air capability!
Wajue kwa njia zao za intelegensia
 
Uwanja wa Ngerengere unajulikana siku zote, ni open secret mkuu
 
Kenya wako vizuri sana na Uganda wako fit zaidi!! Ndege zetu nyingi hazina uhai wa kuruka nyingi sana ni mbovu wanaziwasha na kujifunzia ardhini tu.......zinazoweza kwenda angalau juu hazizid 10 nchi nzima!! Nyingi za mafunzo ambapo nazo labda ziko 8 hivi.......bado tuna changamoto sana kwa jeshi la anga!! Ila Hongera si haba na si sawa na kutokuwa na jeshi la anga kabisa
Mkuu, umewahi kusikia Kenya, Uganda na Rwanda wametangaza vya kwao?
Usidhani hawana. Wanavyo tena Airforce ya Kenya ni bora kuliko yetu kwa takwimu za CIA.
Mkiingia vitani inakuwa target ya kwanza ku paralyze Air capability!
Wajue kwa njia zao za intelegensia
 
Mkuu, umewahi kusikia Kenya, Uganda na Rwanda wametangaza vya kwao?
Usidhani hawana. Wanavyo tena Airforce ya Kenya ni bora kuliko yetu kwa takwimu za CIA.
Mkiingia vitani inakuwa target ya kwanza ku paralyze Air capability!
Wajue kwa njia zao za intelegensia
Kama wAnaficha we umejuaje???
 
Back
Top Bottom