HAKI IKITENDEKA KWA WATU WOTE, AMANI ITATAWALA FOR SURE
Unakumbuka nini kwenye kichwa chako?hivi kwaresma uliandika barua kama hii ni utani tu mujomba
kufikiria kuwa amani inakuja kabla ya haki = putting the cart before the horse.
kufikiria kuwa amani inakuja kabla ya haki = putting the cart before the horse.
Anawataka au anawaomba
HAKI IKITENDEKA KWA WATU WOTE, AMANI ITATAWALA FOR SURE
Aise wewe" aise wewe" unaonyesha hujipendi.Kuliombea Taifa wakati yeye yuko mstari wa mbele kubaka demokrasi nchini, kuwadhalilisha Wabunge wa upinzani na Wanafunzi wa UDOM kwa kuwaita v.ilaza. Mtu anayetenda haya hana dhamira njema na Tanzania yetu.
Namuona shekh Majini anangara
Charity start at home...sasa wewe unalilia Demokrasia mtaani ili hali nyumbn kwako imekushinda....IMARISHENI DEMOKRASIA KWANZA NDANI YA CHADEMA ndio mje mpige kelele huku nje.....Ndani ya CCM kuna DEMOKRASIA NZURI TU sasa ILI TUUNGANISHE nguvu ndani ya NCHI yetu yenye DEMOKRASIA iliyo bora na ya kuigwa kuliko ya sasa ambayo tunaiona inatekelezwa na upande mmja tu wa CCM , hivyo INABIDI KWANZA vyama vya UPINZANI muwe na DEMOKRASIA bora si ya kukifanya chama ni mali binafsi na mwenye maamuzi ya mwisho ni mtu mmja ....ndio maana sisi wengne huku nje tunashindwa kuwaelewa mnataka Demokrasia ipi ili hali ndani ya CHAMA CHENU hamna DEMOKRASIA yoyote zaidi ya kkukiendesha chama kibabe.....Kuliombea Taifa wakati yeye yuko mstari wa mbele kubaka demokrasi nchini, kuwadhalilisha Wabunge wa upinzani na Wanafunzi wa UDOM kwa kuwaita v.ilaza. Mtu anayetenda haya hana dhamira njema na Tanzania yetu.