Rais Magufuli awakuna makandarasi wazalendo

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
13237843_1101496536581470_1409255326621865309_n.jpg
 
Kama kweli rais katamka hayo namuunga mkono kwa 1005 kabisa; ni vizuri tujenge tabia ya kuzungusha pesa nchini mwetu hili pia linaweza kusababisha hata Dola yetu kua na thamani dhidi ya pesa zingine kama Dolla, Paund, Euro nk.
Kingine sasa, naombeni na nyie makandarasi wa Kitanzania muungeni mkono raisi kwa kuwaonesha hao watakao wapa kazi kua raisi hakukosea, zipo kampuni nyingi sana nchini ambazo kwa kuchakachua hakika zinaongoza, hakikisheni mnafanya kazi katika UBORA wake; sina shaka kabisa na uwezo wa wataalamu wetu wa kizalendo, shaka nilionayo ni uadilifu mpewapo kazi na hasa kama umepewa kazi ya aina moja mara kadhaa na mtu 1, kazi ya pili au ya 3 mara nyingi hua haifanani ubora na ile ya kwanza. Wathibitishieni watu kama you can make it.
 
Hongera kwa tamko hilo sasa makandarasi wajipange kweli maana watapamba na wachina waliojiwe vizuri sana kazi zao zinaonekana na gharama zao za ushindani sana!
 
Wakandarasi binafsi ni wahujumu uchumi,ikiwezekana wanyimwe Kazi,kazi zote zifanywe na suma jkt,hao wengine wafutwe wote wametuchosha
 
Back
Top Bottom