Rais Magufuli awaapisha wajumbe wa Kamati Maalum ya kuchunguza sakata la mchanga wa migodini

Mkataba ambao watangulizi wake waliingia na hayo makampuni unasemaje? Hata kama ni mkataba wa kutuibia madini yetu, lakini unasemaje?

Ukishajiuliza hayo maswali utagundua kwamba approach anayotumia mkuu siyo sahihi. Angeenda kwenye mkataba kisha akakaa nao mezani na kuona namna ya kubadili mkataba
 
Kila la heri wataalam wetu, mtuletee mrejesho wa kweli tujue tumekuwa tukipigwa ama lah!
Ikiwa tumekuwa tunapigwa, kwakweli mh rais itabidi "afukue makaburi" kwa yeyote aliesababisha hali hiyo.
Hilo kwa tz ni ngumu kutokea hdi Yesu anarudi halitokei kamwe
 
Nice comment
 

Ni kweli,mzizi uko kwenye mkataba,huu ni mchanga ni matawi tu.
 
Hivi Wajumbe Wa Kamati Maalum Wanahitaji Kuapishwa ? Ama Mimi Sijui Lolote!
Yanaweza Kuwa Ya Kaimu Jaji Mkuu Wa JMT
Hii Yote Ni Kuficha Mikataba Inayosainiwa Kuwa Top Secret.


Naamini Mikataba Mingi Iko Hovyo Tu
 
Serikali ya Magufuli sio serikali ya kujadiliana na wakwepa kodi....hilo labda mgelifanya ninyi wazungusha mikono ambao kiongozi wenu ni mmoja wa wakwepa kodi wakubwa nchini.[HASHTAG]#HApaKazitu[/HASHTAG]
 
All those that have made impact in the history of human beings were not simple creatures .. .basically some amount of madness must be within....tumuache JPM...ni ngumu kumeza au kutema ila ukweli
 
Hivi hawa wanaelewa maana ya kiapo.Maana anayeapisha nae ameshindwa kulinda kiapo alichoapishwa.Tunahitaji rehema za Mungu kabla ya kutenda
 
Wakileta Majibu tofauti na aliyonayo Baba Watakuwa wamenunua Ugomvi at zero cost
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…