Rais Magufuli atoa msaada wa magari ya kubebea wagonjwa kwa wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787

Wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga wakiwasili tayari kukabidhiwa magari la kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017

Ambulance.jpg
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi (kati) akiwa na Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Alphayo Kidata (Kushoto) na Mkurugenzi wa Huduma Ikulu Bw. Charles Mwankupili (kulia) na Wabunge Mhe Ali Mohamed Kessy (mbunge wa Nkasi Kaskazini) Mhe. Munde tambwe na Mhe Lucy Mayenga (wabunge viti maalumu) baada ya kuwakabidhi magari la kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017.
 
Attachments

  • amb2.jpg
    amb2.jpg
    32.3 KB · Views: 239
151773be931eaba9aadbcb212c054e9f.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ametoa magari matatu mapya ya kubebea wagonjwa kwa wabunge watatu ambao ni Mh Lucy Mayenga, Mbunge Viti maalumu Shinyanga, Mh Mude Tambwe, Mbunge viti maalumu Tabora, na Mh Ally Kessy mbunge wa Nkasi Kaskazini Mkoa wa Katavi.
 
Kesi ana chekaaaa..jino nje nje
leo hatemi povu tena kama siku ile ya Roma Mkatoliki

Wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga wakiwasili tayari kukabidhiwa magari la kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi (kati) akiwa na Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Alphayo Kidata (Kushoto) na Mkurugenzi wa Huduma Ikulu Bw. Charles Mwankupili (kulia) na Wabunge Mhe Ali Mohamed Kessy (mbunge wa Nkasi Kaskazini) Mhe. Munde tambwe na Mhe Lucy Mayenga (wabunge viti maalumu) baada ya kuwakabidhi magari la kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017.
 
Mimi hata sioni kitu cha ajabu na cha kusifu hapa. Kwani hela hizo katoa mfukoni au ni sehemu ya kodi zetu?, kama ni kodi zetu mbona hayo ndiyo sehemu ya matumizi yake tunayotaka sisi wananchi. Kama ni pesa za wananchi katimiza wajibu wake na anatakiwa afanye hivi kwa majimbo mengi kama siyo yote. Kama ni pesa zake basi nampa hongera kwa kuona umuhimu wa kuchangia jamii kutoka kwenye mshahara wake.
 
Haya raisi katoa magari matatu swali raisi kayatoa wapi hayo magari kanunua kwa pesa yake au kapewa msaada hivi kwanini kila jambo linalofanyika kwa kodi za wanainchi hatusemi serikali ila tunataja jina la raisi tu

Mfano raisi kajenga
hostel haya leo mnatuambia raisi katoa magari

Miye naitaji mtuambie serikali itafanya lini hayo mambo maana mnapotaja jina la raisi ina maana raisi katoa pesa yake mfukoni kafanya hayo mambo

Yani hata jana sijui kipi kiliwasibu msingesita kusema raisi kagaramia msiba wa wale watoto arusha

Ebu badilikeni bwana vitu vinapofanywa na serikali semeni serikali imefanya hivi sote tutatambua hizo ni jitihada za raisi na watendaji wake si kutaja jina la raisi kwenye kila kitu ionekane yeye ndie kafanya si serikali yake
 
Haya raisi katoa magari matatu swali raisi kayatoa wapi hayo magari kanunua kwa pesa yake au kapewa msaada hivi kwanini kila jambo linalofanyika kwa kodi za wanainchi hatusemi serikali ila tunataja jina la raisi tu

Mfano raisi kajenga
hostel haya leo mnatuambia raisi katoa magari

Miye naitaji mtuambie serikali itafanya lini hayo mambo maana mnapotaja jina la raisi ina maana raisi katoa pesa yake mfukoni kafanya hayo mambo

Yani hata jana sijui kipi kiliwasibu msingeaita kusema raisi kagaramia msiba wa wale watoto arusha

Ebu badilikeni bwana vitu vinapofanywa na serikali semeni serikali imefanya hivi sote tutatambua hizo ni jitihada za raisi na watendaji wake si kutaja jina la raisi kwenye kila kitu ionekane yeye ndie kafanya si serikali yake
mkuu acha double standard basi kaa kati kati utaona wanasiasa walivyo, kwani hata humu watu wanavyoripoti kuhusu wabunge au wawakilishi wa upinzani wanamtaja mbunge au diwani bila kujali kile anachokitoa kinatoka kwenye mfuko gani.
Meya Jacob alivotoa mikopo kwa vijana na akina mama watu walimpongeza utafikiri ni kitu kigeni wakati ni kitu cha kawaida kinafanyika kila halmashauri na ni kodi za wananchi wa halmashauri husika.
 
Back
Top Bottom