figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Rais Dkt.John Magufuli ametoa kibali kwa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto cha kuajiri watumishi wa sekta ya afya kuziba pengo lililoachwa na watumishi wa sekta hiyo walioenguliwa katika utumishi baada ya kupatikana na vyeti feki.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kwenye maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika kitaifa katika Mji wa Itigi ulioko Wilayani Manyoani Mkoani Singida.
Chanzo: TBC Taifa