Rais Magufuli atikiswa: Vigogo CCM wapanga kumpindua

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,903
4,051
Ni kuhusu uenyekiti CCM.

chanzo Raia mwema

3.jpg
 
Mimi naomba apewe Ccm ili akaivunjevunje, huku serikalini angalau kuna sheria na taratibu ngumu na zinampa wakati mgumu kuzivunja,ila kwa Ccm anaweza kuzivunja,na asifanywe lolote.....aende Ccm akafukuze fukuze,akatumbue tumbue,akakutane na wafanyakazi wengi kuliko mapato,na wote wanahitaji mshahara,na atatakiwa apige dili serikalini ili apate mshahara,wampe mapema ili awavuruge hasa ukichukulia kwamba alikuwa hatakiwi kwenye chama,ana wengi wa kulipizia kisasi hasa wale waliokuwa wanaimba wana Imani na lowasa, najua majina yao yote anayo mezani
 
Wapo wengi wasiotaka apewe uenyekiti wa CCM. Ndiyo hao hao waliosita kuhama na Lowassa. Ni majizi na mafisadi yaliyobobea. Mfumo wa CCM utawafanya washindwe kutimiza azma yao. Wajiandae kutumbuliwa moja baada ya mwingine JPM akikamata uenyekiti.
 
Atapiga tukio moja matata mpaka mtashangaa.anaweza hata kujitumbua akawapatia kadi yao na akagoma kutoka ikulu
 
Lakini pia jk anahekima sana hatoweza kufanya ujinga wa namna hiyo kamwe hawezi kuingia kwenye mitego ya namna hiyo.
 
Sioni dalili ya magu kuwa mwenyekiti ccm, na kama hatapewa uenyekiti basi ni wazi wazee wa chama wameona nafasi hiyo ni kubwa kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom