Rais Magufuli atengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini

Malaika Mkuu

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
902
909
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Prof. Justin Ntalikwa kuanzia leo tarehe 26 Machi 2017.

Katibu Mkuu Ntalikwa aliteuliwa Desemba 2015 na kuapishwa Ikulu Januari 2, 2016.

Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu, nafasi yake itajazwa hapo baadaye.

IMG-20170326-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom