Rais Magufuli ashiriki kutoa heshima ya mwisho ya Festus Rutamigwa Isokoza ambaye alikuwa rafiki yake wa tokea utotoni Chato

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490

Mhe. Rais Magufuli atoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Festus Rutamigwa Isokoza, aliyefariki dunia Mei 12,2019. Marehemu alikuwa rafiki wa Mhe. Rais Magufuli tangu wakisoma pamoja katika shule ya msingi Chato na baadaye shule ya sekondari katika Seminari ya Katoke.
 
So what?
Seriously!! Hii nayo ni habari
Hebu punguza mahaba kha
Jaribu kupitia jukwaa la MMU akili ipate akili
Unaboa kwa ufupi
Ingekuwa siyo habari usingesoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…