tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,490
Mhe. Rais Magufuli atoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Festus Rutamigwa Isokoza, aliyefariki dunia Mei 12,2019. Marehemu alikuwa rafiki wa Mhe. Rais Magufuli tangu wakisoma pamoja katika shule ya msingi Chato na baadaye shule ya sekondari katika Seminari ya Katoke.