Rais Magufuli arejea kutoka Ethiopia alikohudhuria Mkutano wa Umoja wa Afrika

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,621
8,411
Habari JF,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amerejea nchini akitokea nchini Ethiopia na kulakiwa na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan va viongozi wengine mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017.

5.jpg


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishuka kwenye ndege katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017. Mbele yake ni Mkuu wa Itifaki Balozi Grace Martin.

Fuatilia tukio la kuasili wa rais Magufuli katika mtililiko wa picha zinazofuata chini;

2.jpg


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wafayanyazi katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam alipowasili akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017.

4.jpg


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungia wananchi mikono alipowasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017.

uy.jpg


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Inspecta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017.

6.jpg


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Kaimu Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt Juma Malewa baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017.

7.jpg
 
Safi sana Rais Magufuli umetuwakilisha vizuri sana,

Ila kule kwenye kiwanda cha roho za korosho Ufipa itakuwa hali Mbaya.

Watetea mafisadi hawana jema
Nasikia kwenye hotuba yake ya Enthiopia alikwenda na kasi ya bombadia akamuacha mkalimani wake nyuma, na mwendo wa bajaji.
 
Amekuja na Jina la Mkuu wa Majeshi mfukoni kwake!

Mmmh kweli daah basi sawa ngoja tusikie kati ya hawa Luteni jenerali Venance S.Mabeyo, Meja jenerali William W. Isamuhyo au Meja jenerali Geogre ingram na Meja jenerali Yakub Sirakwi mungu awabariki kati ya hawa makamanda wazalendo mno
 
Back
Top Bottom