Rais Magufuli Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Dodoma

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,747
Serikali hii ya awamu ya tano inaweza kuhamia Dodoma?

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (wa tatu kushoto) akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichofanyika leo katika ukumbi wa Tamisemi Mjini Dodoma,(wa pili kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein kabla ya kuanza kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma leo Mei 2, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma leo Mei 2, 2016.

Picha na Ikulu.
 
Attachments

  • 1-14.jpg
    1-14.jpg
    75.9 KB · Views: 122
Serikali hii ya awamu ya tano inaweza kuhamia Dodoma?
View attachment 344192
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein kabla ya kuanza kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma leo Mei 2, 2016
Loh, nisikilizie mungu wangu sijui ataangushwa nani? Mungu wa Rehema, Yesuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!
 
Duhh, this pic tells a lot ..........PM kakaaa.....na baadhi ya Mawaziri why ? Hawakusimama wakati rais anaingia au Rais wa ZNZ aliingia baada ya Magu? Why wasalimiane kwa stahili hiyo ndani ya ukumbi ? Hapakuwa na Mapokezi ?
 
Rais wa Zanzibar alikuwa haudhurii vikao vya balaza la mawaziri wa Tanzania kwa sababu ya kisiasa pamoja na uwepo wa kiti chake kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Tanzania 1977.

Picha inaonyesha hata Mawaziri wengine wanashangaa!

Nini kimetokea?

Kuna masuala gani ya kipekee katika kikao hiki au ndio mabadiliko yenyewe tuliyokuwa tunaambiwa kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu
 
viti na rangi zake vipo kiprotokali au vunaomesha order ya positions kutoka raisi hadi waziri mkuu?
 
Rais wa Zanzibar alikuwa haudhurii vikao vya mawaziri kwa sababu ya kisiasa pamoja na uwepo wa kiti chake kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Tanzania.

Nini kimetokea?
maswali ni mengi mkuu...
 
Mbona hata Karume jr alikuwa anahudhuria? Au nimesahau? Au aliamua kugoma kwa "ujeuri" wake?
 
Duhh, this pic tells a lot ..........PM kakaaa.....na baadhi ya Mawaziri why ? Hawakusimama wakati rais anaingia au Rais wa ZNZ aliingia baada ya Magu? Why wasalimiane kwa stahili hiyo ndani ya ukumbi ? Hapakuwa na Mapokezi ?
Hebu kuwa makini kabla ya ku comment!
We huoni kama watu wote wanabadili position, kuashiria kuwa wanakaa baada ya president kuingia! Inaonesha hata Magu anakaa baada ya kusalimiana na Shein ndio maana wote wawili wakaonekana wanashuka na bado kuna watu wengi wamesimama!
Ok! Jifunze mwenyewe kutafsiri picha!
 
povu jingi la nini great thinker? Ni kuelimishana tu!
 
Hao kwenye iyo picha ndio wamilik wa nch yet. Maamuz yoyote ya busara au ya siyo ndio mstakabal wa taifa unategemea
 
Mwanzo mzuri kwa mstakabali wa nchi, vikao vya kupeana majukumu zaidi kwa maendeleo ya nchi.
 
Duhh, this pic tells a lot ..........PM kakaaa.....na baadhi ya Mawaziri why ? Hawakusimama wakati rais anaingia au Rais wa ZNZ aliingia baada ya Magu? Why wasalimiane kwa stahili hiyo ndani ya ukumbi ? Hapakuwa na Mapokezi ?
Mambo madogo hayo, Let's look performance men.
 
Back
Top Bottom