Rais Magufuli anatukonga nyoyo zetu watanzania

Utendaji wake makini. Hacheki cheki ovyo, hafanyi mchezo na mafisadi, anamaanisha anachokiongea/anaenenda katika maneno yake. Ni rais ambaye Tanzania ilipaswa kumpata miaka kadhaa iliyopita na haipaswi kumpoteza kizembe. Shikamoo Magufuli. Shikamooni watanzania mliomchagua Magufuli. Wafinye wezi wote wafinye mafisadi. Wafinye wahujumu uchumi

Kuna mtu ameingilia program ya Mungu ya makazi mapya. Vita si yetu, vita ni ya BWANA.

Mtaelewa baadaye!
 
Anakukonga wewe na mkeo na mamaako labda,maana hata babaako hawezi shabikia huo upuuzi wako
 
Utendaji wake makini. Hacheki cheki ovyo, hafanyi mchezo na mafisadi, anamaanisha anachokiongea/anaenenda katika maneno yake. Ni rais ambaye Tanzania ilipaswa kumpata miaka kadhaa iliyopita na haipaswi kumpoteza kizembe. Shikamoo Magufuli. Shikamooni watanzania mliomchagua Magufuli. Wafinye wezi wote wafinye mafisadi. Wafinye wahujumu uchumi
Miaka kadhaa ipi, tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete ama unamaanisha kwamba marais waliomtangulia hakuna la maana walilolifanya?
 
Back
Top Bottom