Rais Magufuli anatukonga nyoyo zetu watanzania

anakukonga mwenyewe na familia yako, Na kwanini ujumuishe watu wote?? Unafikiri kila mtu ana akili kama zako?

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Huu nao ni uzi????????
Utawajua tu kwa maneno yao!Mafisadi,wezi wa mali za uma,wauza ngada,wakwepa kodi,wazembe,CDM na kwa njia moja au nyingine waliofaidika na fedha za mafisadi,wezi wa mali za uma,wauza ngada na wakwepa kodi.Hamtunyimi usingizi,aluta continua.
 
Utendaji wake makini. Hacheki cheki ovyo, hafanyi mchezo na mafisadi, anamaanisha anachokiongea/anaenenda katika maneno yake. Ni rais ambaye Tanzania ilipaswa kumpata miaka kadhaa iliyopita na haipaswi kumpoteza kizembe. Shikamoo Magufuli. Shikamooni watanzania mliomchagua Magufuli. Wafinye wezi wote wafinye mafisadi. Wafinye wahujumu uchumi
Watu wanaokaa kwa mashemeji zao utawajua tutu.. Haya ww endelea kula ugali wa kengele kwa ba shemeji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawajua tu kwa maneno yao!Mafisadi,wezi wa mali za uma,wauza ngada,wakwepa kodi,wazembe,CDM na kwa njia moja au nyingine waliofaidika na fedha za mafisadi,wezi wa mali za uma,wauza ngada na wakwepa kodi.Hamtunyimi usingizi,aluta continua.
Crap
 
Utendaji wake makini. Hacheki cheki ovyo, hafanyi mchezo na mafisadi, anamaanisha anachokiongea/anaenenda katika maneno yake. Ni rais ambaye Tanzania ilipaswa kumpata miaka kadhaa iliyopita na haipaswi kumpoteza kizembe. Shikamoo Magufuli. Shikamooni watanzania mliomchagua Magufuli. Wafinye wezi wote wafinye mafisadi. Wafinye wahujumu uchumi
Mbona chenge anadunda mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom