Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
Good point Mkuu!Mkuu-uwaziri mkuu, uwaziri, na unaibu waziri unakoma pale rais mteule anapoanza kuapa
article 57 (1) (2) CURT (1977)
(2) The Office of a Minister or a Deputy Minister shall become vacant upon the occurrence of any of the following:
(a) (f) immediately before the President elect assumes office;
Kwa msingi huo basi, Magufuli anaweza kuwa alijadiliana na Majaliwa kuteua hao mawaziri wawili kabla hajaapishwa, kwa kuwa wakati huo Majaliwa alikuwa bado ni Waziri Mkuu kwa mujibu wa uchaguzi wa awamu iliyopita, na Magufuli alikuwa bado ni raisi kwa mujibu wa uchaguzi wa awamu iliyopita. Lakini unaweza kubisha kuwa basi huo ungekuwa ni uteuzi wa mawaziri kwa ajili ya awamu iliyopita.
Iko confusing lakini hiyo ndio only sensible explanation ambayo Magufuli anaweza kutoa. Otherwise Magufuli amekiuka katiba big time!
Lakini kama inavyosemwa, Magufuli ni Trump wa Tanzania, sijui hata kama amewahi kuisoma Katiba ya JMTZ.