Rais Magufuli anahitaji tathmini

Ajitathimini pia kuhusu demokrasia. Je viongozi waliopita kuna hata mmoja baada ya uchaguzi mkuu aliwahi kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa mpaka kipindi kingine cha uchaguzi mkuu?
Je kati ya viongozi waliopita kuna hata mmoja aliyezuia bunge la JMT lisioneshwe mubashara?
 
UMESAHAU JINSI ALIVYOPAMBANA NA VYETI FEKI NA KUFANIKIWA KUWANG'OA WAHUJUMU WA ELIMU TANZANIA
 
UMESAHAU JINSI ALIVYOPAMBANA NA VYETI FEKI NA KUFANIKIWA KUWANG'OA WAHUJUMU WA ELIMU TANZANIA
vichekesho baada ya habari hivi.

kweni serious. mbona forger in chief yuko nae hapo dar, kamkabidhi mkoa mzima kabisa?
 
vichekesho baada ya habari hivi.

kweni serious. mbona forger in chief yuko nae hapo dar, kamkabidhi mkoa mzima kabisa?
Aaa Sasa kaka umesahau kuwa huyo ni mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi, kuondoka kwake hadi mfanyakazi wa mwisho ameondoka ndipo Redundance i take place vinginevyo ni kinyume cha sheria ni hapo tu, hamjapagundua!!!!!
 
Tunao mpango wa kukuongezea posho maana juhudi zako tumeziona[emoji88][emoji138]

Ha ha ha haaaaaaa

Utakuwa hivyo kwa kujitungia uongo na kuzeeka haraka karibuni.
 
Aisee kweli MTU akizaliwa kichaa atabaki kuwa kichaa mpaka kufa
 
Akifanya hivyo atapaniki zaidi maana anajua raia watampiga chini pale kwenye sipangiwi nani wa kumpigia kura...
 
Nimeona akili yako ilivyo finyu , Rais anatathminiwa kwa vitu Vya kijinga hivyo ? Simple minds hizo , kumbe ndio maana watz hatusongi mbele ni sababu watu hawaangalii vitu vikubwa wao ni udaku tu
Si utuambie hivyo vikubwa maana uloandika ni sawa nahadithi za kusadikika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…