Rais Magufuli anachukiwa na hawa na kwa sababu hizi...

Lendomz

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
446
381
1. Anachukia rushwa ,watoa rushwa wanaotaka kupata madaraka kwa kutoa rushwa !! Watu wengi hawajiamini kiasi ya kwamba wanaona wasipotoa rushwa wanaamini hawawezi kuchaguliwa!! Hawa wakishagawa pesa wanakuwa wamenunua akili za watu!! Wanakuja na ka msemo kuwa tunapendwa sana!!wanajificha ndani ya kichaka cha demokrasia maamuzi ya wengi lazima yafuatwe!! Ukiwabana utasikia wanalia eti katiba ya chama imebakwa!!Hawa lazima wamchukie JPM

2. Wapiga dili: wako watu kwa miaka mingi walijificha ndani ya chama kwa lengo LA kuficha maovu yako mfano kukwepa kodi( wafanyabiashara) ,kufanya biashara haramu ,kujipatia kipato isivyohalali,nk!! Kwa sababu alikosekana msemakweli na MTU Wa kuwakemea ndiyo maana walijificha humo.watu hawa wanafikiri ni enzi za myaka ya 90 kwamba MTU akipendekezwa na CCM lazima atashinda, wanafikiri CCM itatawala milele vyovyote vile! Hawaamini katika kutenda meema ( siyo kutoa rushwa au kupokea rushwa) ili uchaguliwe kwa njia ya haki( kidemokrasia) ! Hawa wamekifitinisha chama kwa wananchi wakawaida!! Hawa lazima wamchulie rais JPM

3. Wapinzani japo siyo wengi ambao ni wachumia tumbo!! Hawa pesa kwanza uzalendo baadae,nchi baadae chama baadae,mwanachi baadae!! Wako tayari kusema uongo na kuutetea kwa sababu wanajua watanzania tunapenda kusikia siyo kufanya utafiti na kujiridhisha juu ya kilichosemwa na MTU huyu!! Hili ni tatizo kubwa katika nchi maskini kama Tanzania!! MTU akisema kitu tunaamini hivo hivo kama mazuzu!!
Wapinzani ambao wao ni kupinga kila JPMu wanakiri huo ndiyo upinzani Wa kweli!! Hawa lazima wampinge rais JPM

4. Watu ambao walitegemea kupitishwa na chama ili wachaguliwe!! Japo siyo wengi lakini nao wanaweza kumchukia rais! Huko nyuma watu waliacha kuamini chama wakaanza kumwamini MTU!! Hili nalo ni shida!! Sasa rais anaposema watu waamini chama kuliko MTU( na huu ndo msingi imara) lazima nao wamchukie rais!!

5. Kuna watu utafikiri waliajiriwa na watu ili kazi yao iwe kukosao kila kitu kifanywacho na rais!! Hawa wanamtumikia mgombea Fulani wa urais.Wanafanya hivyo kutaka kuwaminisha wananchi wasiyotumia akili kufikiri kuwa JPM hafai Mara ni mkurupukaji,anaonea watu,ana double standards katika kushugulikia waovu!! Hawa watu ni hatari kwa maendeleo na mstakabali Wa taifa letu!!

6. Kuna watu wanataka kuendekeza ukabila na udini ndani ya taifa letu!! Kipindi cha uchaguzi liko kabila La mbali ( silitaji) walifurahia mgombea fulani ( simtaji).Nikijiuliza maana yake nini jameni!! Ukabila ni hatari sana kwa Amani endelevu ya taifa!! Burundi hakuna amani kwa sababu ya ukabila nakadhali nchini Rwanda ,Kongo,sudani kusini hakuna Amani kwa sababu ya ukabila! MTU anayetaka kuendekeza ukabila ni wakuchukia kama ukoma!! Hafai kuwa kiongozi wetu!!

7. Watu ambao hawakapata ajira,watu ambao wanavyeti feki,watu waliyofukuzwa ajira, hawa lazima wamchukie JPM! Nafikiri ni muda mzuri kwa serikali yetu kupunguza maadui Wa rais wetu kwa kutoa ajira kwa vijana wetu waalimu ,madaktari,ma injinia nk!
 
Namba tano umepiga jiwe ufipa watakuja kwa maneno makali sana baadae
 
acha uongo, anachukiwa kwa sababu sio mkweli,

1. watu wake wanatumia vyeti vya kuazima na bado amewakumbatia.

2. Anahimiza wana ccm kuwachukia wana chadema, uchochezi

3. Anavunja sheria kwa kisingizio cha maendeleo , sijui amani ..

4. Matumizi mabaya ya fedha za umma kwa miradi ambayo haijaidhinishwa na taasisi husika.
 
Hivi kazi ya upinzani ninini?
Maana kazi yao kubwa nayoiyona ni kudandia dandia pale wanapoona kuna lifti.

Hivi kama uzi huu ungeandikwa mwezi uliopita ungedandia lifti ipi?Maana naona yoote uliyoyaandika ni maneno ya udaku uliyoyasikia wiki hii.
 
Rais Magufuli nakuombea heri na baraka tele katika uongozi na maono mema uliyonayo kwa nchi yetu
Natamani Mola anipe uhai wa kuja kuona nasi Tanzania siku moja tunakuja kuwa na barabara kama hii
iliyopo kwa jirani zetu kenya,
Maana nimeanza kuona juhudi zako kwa pale Tazara Bakhresa . Nasikia na ubungo napo una plan ya kuweka kitu ya mtindo huu
hakika hakuna kiongozi aliyethubutu kufanya mambo makubwa kama wewe..Hongera.

78917ee9f98a1a5e43ed3b6417339666.jpg
 
Umesahau hawa wanaompenda.

1.Vilaza walifukuzwa UDOM
2.Waliokosa mikopo na wengine kutoendelea na masomo kwa sababu ya uzembe wao
3.Waathirika wa tetemeko hawa nao wslikuwa wazembe kukaa kusubiria misaada badala ya kujishughulisha huku wakisahau "tetemeko halisababishwai na ccm"
 
acha uongo, anachukiwa kwa sababu sio mkweli,

1. watu wake wanatumia vyeti vya kuazima na bado amewakumbatia.

2. Anahimiza wana ccm kuwachukia wana chadema, uchochezi

3. Anavunja sheria kwa kisingizio cha maendeleo , sijui amani ..

4. Matumizi mabaya ya fedha za umma kwa miradi ambayo haijaidhinishwa na taasisi husika.
Namba 2 hapo. Wabunge wa Ufipa waliposema Wanawake wa UKAWA wawanyime unyunba wabunge wa CCM walikuwa wanapanda urafiki?
 
Umesahau hawa wanaompenda.

1.Vilaza walifukuzwa UDOM
2.Waliokosa mikopo na wengine kutoendelea na masomo kwa sababu ya uzembe wao
3.Waathirika wa tetemeko hawa nao wslikuwa wazembe kukaa kusubiria misaada badala ya kujishughulisha huku wakisahau "tetemeko halisababishwai na ccm"
Wote hao hawana sababu yoyote ya kumchukia rais. Ni mtindo ule ule wa kuzoea dezo
 
Umesahau hawa wanaompenda.

1.Vilaza walifukuzwa UDOM
2.Waliokosa mikopo na wengine kutoendelea na masomo kwa sababu ya uzembe wao
3.Waathirika wa tetemeko hawa nao wslikuwa wazembe kukaa kusubiria misaada badala ya kujishughulisha huku wakisahau "tetemeko halisababishwai na ccm"
Hapa kazi tu. Ila tafadhali watendee haki waliofukuzwa Udom. usiwaite vilaza, hakuna aliyeumbwa kilaza.
 
Rais Magufuli nakuombea heri na baraka tele katika uongozi na maono mema uliyonayo kwa nchi yetu
Natamani Mola anipe uhai wa kuja kuona nasi Tanzania siku moja tunakuja kuwa na barabara kama hii
iliyopo kwa jirani zetu kenya,
Maana nimeanza kuona juhudi zako kwa pale Tazara Bakhresa . Nasikia na ubungo napo una plan ya kuweka kitu ya mtindo huu
hakika hakuna kiongozi aliyethubutu kufanya mambo makubwa kama wewe..Hongera.

78917ee9f98a1a5e43ed3b6417339666.jpg
Ni kweli lakini si kwamba kenya wametuzidi sana kwa hiyo technolojia, tatizo ni historia ya hizi nchi mbili katika hoja ya Ideology. Mzee wetu kipenzi Kenyatta alipenda sana kuwa capitalist, wakati sisi na muhasisi wetu wa taifa tukabaki na sera ya chetu sote(socialism). Mpaka tukaanzisha yale maduka ya ujamaa na magari ya su. Mtu akitaka lift haombi alikuwa anapanda tu. Hivi kwa sera hii nani angewaza kununua gari na kuwa miundo mbinu kama hiyo hapo juu??

Kitu kikisha kuwa chetu sote, nani atatafuta njia ya kuiboresha? Socialism ya china au Urusi huwezi kuiga hasa katika nchi zinazoendelea. Na kwa sababu najua Humprey Polepole anapita humu, namwomba kidogo wabadili kwenye katiba yetu ya chama kipengele cha Ujamaa na waweke capitalist. Itaendana sana na sera ya Rais wetu asiyefanya kazi na asile. Pia Muundo wa sera ya ujamaa na kujitegemea tuliielewa tofauti na China na Urusi.
 
Back
Top Bottom