Sitachoka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 3,030
- 1,306
Rais Magufuli leo ametangaza kumteua Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuwa Mkuu mpya wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam.
Rais Mstaafu Kikwete anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Furgence Kazaura (RIP) aliefariki mwaka jana.
Uteuzi umeanza Januari 17 mwaka huu.
Rais Mstaafu Kikwete anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Furgence Kazaura (RIP) aliefariki mwaka jana.
Uteuzi umeanza Januari 17 mwaka huu.