Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Kufa kufaana na kufwaanaUlaji....
Kumbe wanateuana wavitengo? Sio qualification zako? Na utendaji kazi wakoNatamani na mimi ningekuwa mtu wa kitengo , one day nami ningekuwa kwenye hizo teuzi hongereni kwa kuteuliwa
Vitengo wengi siku hizi wana qualification, kwa hiyo hio ni zawadi baada ya kazi nzuri ya mda mrefu alioifanya hapo alipokuwepo. Jambo usilolijua ni kama usiku wa gizaKumbe wanateuana wavitengo? Sio qualification zako? Na utendaji kazi wako
Tatizo ni hii Katiba yaani Raisi anapewa mamlaka makubwa ya kufanya teuzi zote hii ni hatari sana.
kamanda unazungumzia theories ambazo sio za kufikirika. kaa na mawazo yako kama ulivyo maana unataka kutuambia elimu haina umuhimuHapo ndipo maendeleo yetu yanapokwamia, hakuna wa kututoa hapo bila Katiba kubadilishwa. Nchi inaendeshwa kisiasa zaidi, utaalamu hauna dhamani hata chembe. Ndiyo maana hawataweza kufufua viwanda na ajira zitakuwa hakuna tutabakia kuwa consumers wa bidhaa za nje. Very unfortunate. Hata maprofesa wakiisha chaguliwa wanageuka wanasiasa moja kwa moja na mabingwa wa kuandika ripoti nzuri za kuzifu serikali yao.
Shule ipo?au umejiendeleza hapa na paleNatamani na mimi ningekuwa mtu wa kitengo , one day nami ningekuwa kwenye hizo teuzi hongereni kwa kuteuliwa
Shule ipo ya ukweli sio ya kubahatisha kama wale maprofesa wa kuchongaShule ipo?au umejiendeleza hapa na pale
Usikate tamaa,na usichoke kumuomba mungu huku ukijituma kwa bidii.nafasi ni nyingi mno,namshangaa Rutengwe kupayuka wakati kawekwa tu pembeni hana tuhuma yoyoteShule ipo ya ukweli sio ya kubahatisha kama wale maprofesa wa kuchonga
Ngoja nikomae bana , ingawa bado sina kadi ya kijaniUsikate tamaa,na usichoke kumuomba mungu huku ukijituma kwa bidii.nafasi ni nyingi mno,namshangaa Rutengwe kupayuka wakati kawekwa tu pembeni hana tuhuma yoyote