Rais Magufuli amtaka IGP Sirro kukomesha uhalifu, mauaji dhidi ya raia, ujambazi na dawa za kulevya

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
DBT_7aJXsAALRrY.jpg

DBUhcE4XkAA3Aku.jpg
 
Kamanda Sirro usije kukubali kuburuzwa kama ulivyogeuzwa ukawa kama kikaragosi cha Bashite wakati wa ile vita hewa.

Najua sababu mojawapo iliyokupa hii nafasi ni kutokuwa kwako na msimamo dhabiti kama alivyokuwa Kamanda Ernest Mangu ambae hakutaka kuburuzwa asilani.

Kuwa na msimamo.
 
Kwanini Mbowe anakwepa vipimo vya mkojo?
 
I wish I could be IGP, haya ni maagizo sahihi kabisa namuunga mkono mh. Raisi
 
Nafikiri mwenyewe anajua wajibu wake ndio maana amepostiwa pale, semina elekezi haina haja..
 
Kamanda Sirro usije kukubali kuburuzwa kama ulivyogeuzwa ukawa kama kikaragosi cha Bashite wakati wa ile vita hewa.

Najua sababu mojawapo iliyokupa hii nafasi ni kutokuwa kwako na msimamo dhabiti kama alivyokuwa Kamanda Ernest Mangu ambae hakutaka kuburuzwa asilani.

Kuwa na msimamo.
Huyo Mangu yuko wapi sasa na misimamo yake?
 
Jana nimemsikia wakati akiwahutubia makamanda wa polisi, akimuagiza IGP afanye complete overhaul ya jeshi la polisi na asimuonee mtu aibu! alisema, nanukuu: "...labda nitumie neno sahihi, "complete overhaul"
The worst is yet to come!
 
Sina shaka na chanzo. Nina mashaka na kauli ya huyo Mpenda sifa, mzee wa ma likes, makopa. Tangu lini Jeshi likafanyiwa Over haul? Nadhani atakuwa kachanganya ma file.
Amemuagiza afanye hivyo, let us wait and see if this will b effected! Siro, this is a first test to you!
 
Back
Top Bottom