Rais Magufuli amfyeka shemeji yake vyeti feki

Camalillo

Member
Oct 12, 2013
90
83
Ukitaka kujua hakuna mzaha ktk serikali hii ni kuwa zoezi la vyeti feki limemkumba na kumuadhibu shemeji yake kabisa na Rais Magufuli aitwaye Dorice M Mbizo ambaye yupo kwenye mashirika ya Umma/Taasisi namba 1158.

Huyu shemeji yake muda mrefu amekaa kwa Magufuli pale Kinondoni tangu Magufuli akiwa Naibu Waziri wa Ujenzi mpaka alipoolewa, kwa kifupi maisha yake kwa kipindi kirefu yalikuwa kwa Magufuli ambaye ni shemeji yake, sasa alipopata kazi kumbe alitumia vyeti feki bila kujua kwa kuwa ni aibu kwake. KAGUZI HIZI ZIMEMUIBUA NA KUMUWEKA HADHARANI.

Hapa kumekucha, fagio halina cha ushemeji wala undugu ni kula kichwa tu!

IMG_1043.jpg

View attachment 504395 Ukitaka kujua hakuna mzaha ktk serikali hii ni kuwa zoezi la vyeti feki limemkumba na kumuadhibu shemeji yake kabisa na Rais Magufuli aitwaye Dorice M Mbizo ambaye yupo kwenye mashirika ya Umma/Taasisi namba 1158.

Huyu shemeji yake muda mrefu amekaa kwa Magufuli pale Kinondoni tangu Magufuli akiwa Naibu Waziri wa Ujenzi mpaka alipoolewa, kwa kifupi maisha yake kwa kipindi kirefu yalikuwa kwa Magufuli ambaye ni shemeji yake, sasa alipopata kazi kumbe alitumia vyeti feki bila kujua kwa kuwa ni aibu kwake. KAKUGIZI HIZI ZIMEMUIBUA NA KUMUWEKA HADHARANI.

Hapa kumekucha, fagio halina cha ushemeji wala undugu ni kula kichwa tu!
Ni majina yamefanana. Baba J ana mipaka.
 
Ninavyojua mimi kuna watu wengi tu wameingizwa humo kimakosa.
Kauli ya Kairuki ya kutoa maelekezo ya kufuata kwa ambaye anaona amekosewa inathibitisha hilo.

Binafsi naamini nusu ya watu hapo wamekosewa, naomba baada ya wahusika kupokea barua na kuzifanyia kazi watuambie: idadi ya wenye vyeti feki upya.
 
Ukitaka kujua hakuna mzaha ktk serikali hii ni kuwa zoezi la vyeti feki limemkumba na kumuadhibu shemeji yake kabisa na Rais Magufuli aitwaye Dorice M Mbizo ambaye yupo kwenye mashirika ya Umma/Taasisi namba 1158.

Huyu shemeji yake muda mrefu amekaa kwa Magufuli pale Kinondoni tangu Magufuli akiwa Naibu Waziri wa Ujenzi mpaka alipoolewa, kwa kifupi maisha yake kwa kipindi kirefu yalikuwa kwa Magufuli ambaye ni shemeji yake, sasa alipopata kazi kumbe alitumia vyeti feki bila kujua kwa kuwa ni aibu kwake. KAGUZI HIZI ZIMEMUIBUA NA KUMUWEKA HADHARANI.

Hapa kumekucha, fagio halina cha ushemeji wala undugu ni kula kichwa tu!

View attachment 504395
Ila kamuacha Bashite
 
Back
Top Bottom