Rais Magufuli alianzia pale...

Rais Magufuli alianzia pale...

Ile haikuwa demotion, pole yako. Alikuwa kagera kwa kazi maalumu.
Na baada ya muda kidogo jamaa alipofika Kagera rpc wa Kagera Ollomi akatumbuliwa kwa kusindikiza misafara ya magendo kuvuka boarder ya Uganda.
 
huyu aliyechukua nafasi ni TISS nguli ambae alikuwa polisi na sasa yuko nyumbani

Msidhania kamwe Rais ni mjinga

polisi TISS wako wengi tu

Hata madaktari TISS mpaka wachungaji, mashekhe, mapadre

Unless TISS haujui wako wapi

Wapo kila mahali, kila professional

Hata mkeo aweza kuwa ni usalawa wa taifa

Go get TISS 101 beginner course

Sifa kubwa ya hao TISS sio kulinda usalama wa nchi na maslahi bali ni kuwalinda viongozi na kukomoa wapinzani wao kwa kuwafanyia ukatili fullstop.
 
Wasalaam watu wa Mungu

Miezi 6 tu baada ya uteuzi wa wakuu wa mikoa isiyokua bahati ilimshukia Mama Anne Kilango Malecela. Watu wengi walijua huyu buana anatafuta publicity.

Walichosahau tu ni Kwamba huyu ni mke wa Waziri mkuu wa Tanzania 1990-1994 aidha Makamu mwenyekiti CCM 1995-2007 na mjumbe wa kamati kuu ya CCM. Mtu huyu si wakumbeza yeye wala kizazi chake kwani ni mtu mwenye kuifahamu serikali na chama kindaki ndaki.

Alipomtumbua "mwana" Mh. Charles Kitwanga, kwanini nasema mwana, taarifa zilizopo mtaani ni kwamba Mh. Kitwanga na Mh. Rais ni marafiki wakubwa sana si wa kukutana baa bali wa kuja njumbani na kukaribishwa sebuleni akakabidhiwa rimoti na kubadilisha chaneli.

Alipo kamatwa Mke wa Waziri mmoja na trafiki akajibu shit alafu Mh. Rais akasema hata mke wangu akizingua kamata, mmh hili lilikua fikirishi hasa kwa wenye fikra.

Alipowaambia waandishi wa Habari NOT TO THAT EXTENT, tukalalama tukaingiwa na hofu tasnia pendwa imevamiwa, sisi tunajinasibu kuwa Mhimili wa nne usio rasmi.

TISS hii ni taasisi nyeti kuliko unyeti unaoyamkinika, kiongozi wake si tu kwamba anaongoza watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri, bali wenye mafunzo mahsusi juu ya nyanja mbali mbali za kubashiri yajayo na utambuzi wa viashiria kabla kutendeka kwa tukio.

Hivyo kusikia Mkurugenzi wake kuondolewa chomboni, sio jambo lakufikirisha tu, bali limegongelea msumari wa mwisho kwenye jeneza kwamba kigezo pekee ni UCHAPA KAZI NA WELEDI KATIKA KAZI na si unajua mimi ni nani.

Ni muda muafaka Sasa yeyote mwenye dhamana ya uongozi katika serikali hii kujua kwamba kitu pekee kitakacho linda kibarua chako ni weledi uliotukuka katika nafasi uliyopo na sio vinginevyo.

Nawasilisha
Weledi uliotukuka ni nini? Unaupimaje? Hiyo anayetumbua wengine anao?
 
PUmba tupu....sema sababu ya kutumbuliwa Kipilimba
 
Bosi anaweza kukupa amri ya kifala kukupima utendaji wako!
 
Nashukuru somi limeeleweka. Maana awamu iliyopita ilikuwa na maneno maneno mara ooh serikali ya kishkaji .......sasa hivi hata wale waliokuwa wanaropoka hivo hawaskiki. Tafsiri ya hapa kazi tuu utaiona kwa vitendo. Muandishi ongeza mifano mingine basi..... Hakuna mkubwa wala mdogo kazi kwanza mengine yanafuata.
 
Back
Top Bottom