Rais Magufuli alianzia pale...

Rais Magufuli alianzia pale...

Mna exaggerate sana uwezo wa TISS utafikili hawajazaliwa na wazazi waliotuzaa hapa Bongo.Wengine ni mademu zetu,makaka zetu uwezo wao kiakili tunaujua
huyu aliyechukua nafasi ni TISS nguli ambae alikuwa polisi na sasa yuko nyumbani

Msidhania kamwe Rais ni mjinga

polisi TISS wako wengi tu

Hata madaktari TISS mpaka wachungaji, mashekhe, mapadre

Unless TISS haujui wako wapi

Wapo kila mahali, kila professional

Hata mkeo aweza kuwa ni usalawa wa taifa

Go get TISS 101 beginner course
 
Kp. kafyekwa baada ya Nape kueleza mipango mingi inayofanywa dhidi ya mkulu na serikali na inafanywa na kina nani kama waratibu.
Habari hizo zilikuwa ngeni kwa mkulu na akashangaa mkuu wa Tissue hajawahi kumfahamisha hivyo eitha anaziunga mkono au hajui. Fyeka.
Unamaanisha KP alikuwa tailed? Mtu kivuli alikuwa nyuma yake?
 
Baada ya rais kumtaja hadharani ndo unasema alikuwepo tangu zamani as if unamjua au ulishafanya nae kazi.
Asingemtaja,ungekuja na comment tofaut kabisa na hii
Ila wewe kiazi mviringo kweli. Unadhani utachukua mtu asiye wa idara akapokee taarifa za Tiss atazichakata vipi? Usiwe boya mbele yangu acha niendelee kushika hii namba
 
Acha uongo, Diwani athumani msuya ni TISS na kachero mbobezi tangu zamani labda umemjua leo wewe, kama humjui nyamaza, Amekuewepo ndani ya jeshi la polisi kama agent wa TISS bila wao hata kujua.

Tiss wapo mahakamanumi, wapo ambao ni makarani, mahakimu, majaji,

Tiss wapo misikitini, ni.maimamu, waadhini, masheikh.

Tiss wapo kanisani, wapo maaskofu, mapadre, masister, mashemasi etc.

Tiss wapo bungeni kama wabunge, madereva wa wabunge , makatibu wa wabunge n.k

Usishangae kuona Diwani athumani ukasema tu ni askari polisi, note. Hata boss wako ni TISS kama hujui!!
Magufuli alikuwa tiss?
 
Wasalaam watu wa Mungu
Miezi 6 tu baada ya uteuzi wa wakuu wa mikoa isiyokua bahati ilimshukia Mama Anne Kilango Malecela. Watu wengi walijua huyu buana anatafuta publicity.
wakuu hii Aya sijaielewa aliyeelewa anifafanulie
 
Sasa baharia kumbe mtu akija kwako akapatiwa channel maana yake huyo ni wa kufa na kuzikana loooo
 
Baada ya rais kumtaja hadharani ndo unasema alikuwepo tangu zamani as if unamjua au ulishafanya nae kazi.
Asingemtaja,ungekuja na comment tofaut kabisa na hii

Ile kauli alikuwa akimuandaa aje awe alipo sasa.Mchungaji akachunge vizuri kanisa
 
huyu aliyechukua nafasi ni TISS nguli ambae alikuwa polisi na sasa yuko nyumbani

Msidhania kamwe Rais ni mjinga

polisi TISS wako wengi tu

Hata madaktari TISS mpaka wachungaji, mashekhe, mapadre

Unless TISS haujui wako wapi

Wapo kila mahali, kila professional

Hata mkeo aweza kuwa ni usalawa wa taifa

Go get TISS 101 beginner course
Umesema vyema kabisa ,Huwezi kujua kuwa hata mama anayepika vitumbua jirani ambaye anastori nyingi sana na anajua kila mtu mtaaani kinyozi anayenyoa ndevu zako na hata muuza gazeti pale kwenye kona ya mtaani ni mmoja wao wanaposema serikali ina mkono mlefu huo ndio mkono wake na masikio yake hata unapororopoka kijweni ujue kuna mmoja kwa hiyo haishangazi kuwa alikuwa polisi kwani kipilimba alikuwa nani kabla?
 
Wasalaam watu wa Mungu

Miezi 6 tu baada ya uteuzi wa wakuu wa mikoa isiyokua bahati ilimshukia Mama Anne Kilango Malecela. Watu wengi walijua huyu buana anatafuta publicity.

Walichosahau tu ni Kwamba huyu ni mke wa Waziri mkuu wa Tanzania 1990-1994 aidha Makamu mwenyekiti CCM 1995-2007 na mjumbe wa kamati kuu ya CCM. Mtu huyu si wakumbeza yeye wala kizazi chake kwani ni mtu mwenye kuifahamu serikali na chama kindaki ndaki.

Alipomtumbua "mwana" Mh. Charles Kitwanga, kwanini nasema mwana, taarifa zilizopo mtaani ni kwamba Mh. Kitwanga na Mh. Rais ni marafiki wakubwa sana si wa kukutana baa bali wa kuja njumbani na kukaribishwa sebuleni akakabidhiwa rimoti na kubadilisha chaneli.

Alipo kamatwa Mke wa Waziri mmoja na trafiki akajibu shit alafu Mh. Rais akasema hata mke wangu akizingua kamata, mmh hili lilikua fikirishi hasa kwa wenye fikra.

Alipowaambia waandishi wa Habari NOT TO THAT EXTENT, tukalalama tukaingiwa na hofu tasnia pendwa imevamiwa, sisi tunajinasibu kuwa Mhimili wa nne usio rasmi.

TISS hii ni taasisi nyeti kuliko unyeti unaoyamkinika, kiongozi wake si tu kwamba anaongoza watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri, bali wenye mafunzo mahsusi juu ya nyanja mbali mbali za kubashiri yajayo na utambuzi wa viashiria kabla kutendeka kwa tukio.

Hivyo kusikia Mkurugenzi wake kuondolewa chomboni, sio jambo lakufikirisha tu, bali limegongelea msumari wa mwisho kwenye jeneza kwamba kigezo pekee ni UCHAPA KAZI NA WELEDI KATIKA KAZI na si unajua mimi ni nani.

Ni muda muafaka Sasa yeyote mwenye dhamana ya uongozi katika serikali hii kujua kwamba kitu pekee kitakacho linda kibarua chako ni weledi uliotukuka katika nafasi uliyopo na sio vinginevyo.

Nawasilisha
Hata Bashite umemu include katika vigezo na list yako ?
 
huyu aliyechukua nafasi ni TISS nguli ambae alikuwa polisi na sasa yuko nyumbani

Msidhania kamwe Rais ni mjinga

polisi TISS wako wengi tu

Hata madaktari TISS mpaka wachungaji, mashekhe, mapadre

Unless TISS haujui wako wapi

Wapo kila mahali, kila professional

Hata mkeo aweza kuwa ni usalawa wa taifa

Go get TISS 101 beginner course
Wakati ana m demote from DCI to RAS alikuwa hajui haya ?
 
..mnajitisha wenyewe tu.

..TISS ni watu wa kawaida, kama siyo wachovu.

..Nchi hii inakwenda kwa KUDURA ZA MWENYEZI MUNGU.
Nashangaa Sana watu wanaowatukuza hao Jamaa
I know alot of them, School Failures , they are there Without any merit
Kujuana
 
Baada ya rais kumtaja hadharani ndo unasema alikuwepo tangu zamani as if unamjua au ulishafanya nae kazi.
Asingemtaja,ungekuja na comment tofaut kabisa na hii
Achana na Nyumbu hilo Mkuu
Limesahau kuwa Jamaa alipewa demotion from DCI to RAS
 
Wasalaam watu wa Mungu

Miezi 6 tu baada ya uteuzi wa wakuu wa mikoa isiyokua bahati ilimshukia Mama Anne Kilango Malecela. Watu wengi walijua huyu buana anatafuta publicity.

Walichosahau tu ni Kwamba huyu ni mke wa Waziri mkuu wa Tanzania 1990-1994 aidha Makamu mwenyekiti CCM 1995-2007 na mjumbe wa kamati kuu ya CCM. Mtu huyu si wakumbeza yeye wala kizazi chake kwani ni mtu mwenye kuifahamu serikali na chama kindaki ndaki.

Alipomtumbua "mwana" Mh. Charles Kitwanga, kwanini nasema mwana, taarifa zilizopo mtaani ni kwamba Mh. Kitwanga na Mh. Rais ni marafiki wakubwa sana si wa kukutana baa bali wa kuja njumbani na kukaribishwa sebuleni akakabidhiwa rimoti na kubadilisha chaneli.

Alipo kamatwa Mke wa Waziri mmoja na trafiki akajibu shit alafu Mh. Rais akasema hata mke wangu akizingua kamata, mmh hili lilikua fikirishi hasa kwa wenye fikra.

Alipowaambia waandishi wa Habari NOT TO THAT EXTENT, tukalalama tukaingiwa na hofu tasnia pendwa imevamiwa, sisi tunajinasibu kuwa Mhimili wa nne usio rasmi.

TISS hii ni taasisi nyeti kuliko unyeti unaoyamkinika, kiongozi wake si tu kwamba anaongoza watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri, bali wenye mafunzo mahsusi juu ya nyanja mbali mbali za kubashiri yajayo na utambuzi wa viashiria kabla kutendeka kwa tukio.

Hivyo kusikia Mkurugenzi wake kuondolewa chomboni, sio jambo lakufikirisha tu, bali limegongelea msumari wa mwisho kwenye jeneza kwamba kigezo pekee ni UCHAPA KAZI NA WELEDI KATIKA KAZI na si unajua mimi ni nani.

Ni muda muafaka Sasa yeyote mwenye dhamana ya uongozi katika serikali hii kujua kwamba kitu pekee kitakacho linda kibarua chako ni weledi uliotukuka katika nafasi uliyopo na sio vinginevyo.

Nawasilisha
Hivi siku hizi Lumumba buku7 mna akili za ukichaa hivi? Unasema TISS ni taasisi nyeti pumbaaavu kwa unyeti gani uliokuwa nao hasa?

Unyeti wa TISS unaupimaje wewe mbulura wa Lumumba buku7?
Tukupe somo sasa, ili taasisi ionekane kuwa Nyeti inatokana na huduma inazo toa kwa jamii na jinsi jamii inavyo ridhika na huduma hizo.

Kama TISS imeshindwa kujua nani amempiga risasi mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni tena akiwa ktk makazi salama ya viongozi wa serikali unawezaje ukasema ni Idara nyeti?

Kama TISS wameshindwa kueleza ni akina nani wanahusika kuteka na kuua raia wema unawezaje kudiriki kuiita ni Idara nyeti shenzii. Unyeti huo unatoka wapi hasa?

TISS imepoteza DIRA badala ya kuwa usalama wa taifa imebeba jukumu la usalama wa ccm. TISS inapambana na raia wema wapinzani wa ccm kuilinda ccm badala ya kulinda nchi.

TISS ni Idara ya usalama wa taifa na sio ya kikundi fulani cha watu. Raia yeyote alipaswa kujiona yupo salama kwa kuwa ipo Idara inayo husika na usalama wake na tunawalipa mishahara kwa kazi hiyo.

Lakini wao wamejigeuza kuwa ndio kikundi cha kuwinda raia wema na kufanya uhalifu. Ndio maana hata wana siasa hawakiheshimu tena chombo hicho maana wanaona wanakitumia wanavyo taka.
 
Baada ya rais kumtaja hadharani ndo unasema alikuwepo tangu zamani as if unamjua au ulishafanya nae kazi.
Asingemtaja,ungekuja na comment tofaut kabisa na hii

hawa ni fwata upepo tuu akisikia jiwe kasema kitu atashadadia kama anamjua huyoo diwani.
 
Ile haikuwa demotion, pole yako. Alikuwa kagera kwa kazi maalumu.
Pumbaf kabisa
Natamani kukwambia Mimi ni Nani na Zengwe gani lilimng'oa Diwani
Ila bado unaonekana unanuka Maziwa ya Mama
Unajua issue ya Mpemba na Meno ya Tembo ?
 
Back
Top Bottom