huyu aliyechukua nafasi ni TISS nguli ambae alikuwa polisi na sasa yuko nyumbani
Msidhania kamwe Rais ni mjinga
polisi TISS wako wengi tu
Hata madaktari TISS mpaka wachungaji, mashekhe, mapadre
Unless TISS haujui wako wapi
Wapo kila mahali, kila professional
Hata mkeo aweza kuwa ni usalawa wa taifa
Go get TISS 101 beginner course
Hujamalizia na..mnajitisha wenyewe tu.
..TISS ni watu wa kawaida, kama siyo wachovu.
..Nchi hii inakwenda kwa KUDURA ZA MWENYEZI MUNGU.
Unamaanisha KP alikuwa tailed? Mtu kivuli alikuwa nyuma yake?Kp. kafyekwa baada ya Nape kueleza mipango mingi inayofanywa dhidi ya mkulu na serikali na inafanywa na kina nani kama waratibu.
Habari hizo zilikuwa ngeni kwa mkulu na akashangaa mkuu wa Tissue hajawahi kumfahamisha hivyo eitha anaziunga mkono au hajui. Fyeka.
Ila wewe kiazi mviringo kweli. Unadhani utachukua mtu asiye wa idara akapokee taarifa za Tiss atazichakata vipi? Usiwe boya mbele yangu acha niendelee kushika hii nambaBaada ya rais kumtaja hadharani ndo unasema alikuwepo tangu zamani as if unamjua au ulishafanya nae kazi.
Asingemtaja,ungekuja na comment tofaut kabisa na hii
Magufuli alikuwa tiss?Acha uongo, Diwani athumani msuya ni TISS na kachero mbobezi tangu zamani labda umemjua leo wewe, kama humjui nyamaza, Amekuewepo ndani ya jeshi la polisi kama agent wa TISS bila wao hata kujua.
Tiss wapo mahakamanumi, wapo ambao ni makarani, mahakimu, majaji,
Tiss wapo misikitini, ni.maimamu, waadhini, masheikh.
Tiss wapo kanisani, wapo maaskofu, mapadre, masister, mashemasi etc.
Tiss wapo bungeni kama wabunge, madereva wa wabunge , makatibu wa wabunge n.k
Usishangae kuona Diwani athumani ukasema tu ni askari polisi, note. Hata boss wako ni TISS kama hujui!!
wakuu hii Aya sijaielewa aliyeelewa anifafanulieWasalaam watu wa Mungu
Miezi 6 tu baada ya uteuzi wa wakuu wa mikoa isiyokua bahati ilimshukia Mama Anne Kilango Malecela. Watu wengi walijua huyu buana anatafuta publicity.
Uweredi na kujituma ndio itaamua uwepo wako kazini ukipata kazi usibweteke
Baada ya rais kumtaja hadharani ndo unasema alikuwepo tangu zamani as if unamjua au ulishafanya nae kazi.
Asingemtaja,ungekuja na comment tofaut kabisa na hii
Umesema vyema kabisa ,Huwezi kujua kuwa hata mama anayepika vitumbua jirani ambaye anastori nyingi sana na anajua kila mtu mtaaani kinyozi anayenyoa ndevu zako na hata muuza gazeti pale kwenye kona ya mtaani ni mmoja wao wanaposema serikali ina mkono mlefu huo ndio mkono wake na masikio yake hata unapororopoka kijweni ujue kuna mmoja kwa hiyo haishangazi kuwa alikuwa polisi kwani kipilimba alikuwa nani kabla?huyu aliyechukua nafasi ni TISS nguli ambae alikuwa polisi na sasa yuko nyumbani
Msidhania kamwe Rais ni mjinga
polisi TISS wako wengi tu
Hata madaktari TISS mpaka wachungaji, mashekhe, mapadre
Unless TISS haujui wako wapi
Wapo kila mahali, kila professional
Hata mkeo aweza kuwa ni usalawa wa taifa
Go get TISS 101 beginner course
Hata Bashite umemu include katika vigezo na list yako ?Wasalaam watu wa Mungu
Miezi 6 tu baada ya uteuzi wa wakuu wa mikoa isiyokua bahati ilimshukia Mama Anne Kilango Malecela. Watu wengi walijua huyu buana anatafuta publicity.
Walichosahau tu ni Kwamba huyu ni mke wa Waziri mkuu wa Tanzania 1990-1994 aidha Makamu mwenyekiti CCM 1995-2007 na mjumbe wa kamati kuu ya CCM. Mtu huyu si wakumbeza yeye wala kizazi chake kwani ni mtu mwenye kuifahamu serikali na chama kindaki ndaki.
Alipomtumbua "mwana" Mh. Charles Kitwanga, kwanini nasema mwana, taarifa zilizopo mtaani ni kwamba Mh. Kitwanga na Mh. Rais ni marafiki wakubwa sana si wa kukutana baa bali wa kuja njumbani na kukaribishwa sebuleni akakabidhiwa rimoti na kubadilisha chaneli.
Alipo kamatwa Mke wa Waziri mmoja na trafiki akajibu shit alafu Mh. Rais akasema hata mke wangu akizingua kamata, mmh hili lilikua fikirishi hasa kwa wenye fikra.
Alipowaambia waandishi wa Habari NOT TO THAT EXTENT, tukalalama tukaingiwa na hofu tasnia pendwa imevamiwa, sisi tunajinasibu kuwa Mhimili wa nne usio rasmi.
TISS hii ni taasisi nyeti kuliko unyeti unaoyamkinika, kiongozi wake si tu kwamba anaongoza watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri, bali wenye mafunzo mahsusi juu ya nyanja mbali mbali za kubashiri yajayo na utambuzi wa viashiria kabla kutendeka kwa tukio.
Hivyo kusikia Mkurugenzi wake kuondolewa chomboni, sio jambo lakufikirisha tu, bali limegongelea msumari wa mwisho kwenye jeneza kwamba kigezo pekee ni UCHAPA KAZI NA WELEDI KATIKA KAZI na si unajua mimi ni nani.
Ni muda muafaka Sasa yeyote mwenye dhamana ya uongozi katika serikali hii kujua kwamba kitu pekee kitakacho linda kibarua chako ni weledi uliotukuka katika nafasi uliyopo na sio vinginevyo.
Nawasilisha
Wakati ana m demote from DCI to RAS alikuwa hajui haya ?huyu aliyechukua nafasi ni TISS nguli ambae alikuwa polisi na sasa yuko nyumbani
Msidhania kamwe Rais ni mjinga
polisi TISS wako wengi tu
Hata madaktari TISS mpaka wachungaji, mashekhe, mapadre
Unless TISS haujui wako wapi
Wapo kila mahali, kila professional
Hata mkeo aweza kuwa ni usalawa wa taifa
Go get TISS 101 beginner course
Nashangaa Sana watu wanaowatukuza hao Jamaa..mnajitisha wenyewe tu.
..TISS ni watu wa kawaida, kama siyo wachovu.
..Nchi hii inakwenda kwa KUDURA ZA MWENYEZI MUNGU.
Achana na Nyumbu hilo MkuuBaada ya rais kumtaja hadharani ndo unasema alikuwepo tangu zamani as if unamjua au ulishafanya nae kazi.
Asingemtaja,ungekuja na comment tofaut kabisa na hii
Hivi siku hizi Lumumba buku7 mna akili za ukichaa hivi? Unasema TISS ni taasisi nyeti pumbaaavu kwa unyeti gani uliokuwa nao hasa?Wasalaam watu wa Mungu
Miezi 6 tu baada ya uteuzi wa wakuu wa mikoa isiyokua bahati ilimshukia Mama Anne Kilango Malecela. Watu wengi walijua huyu buana anatafuta publicity.
Walichosahau tu ni Kwamba huyu ni mke wa Waziri mkuu wa Tanzania 1990-1994 aidha Makamu mwenyekiti CCM 1995-2007 na mjumbe wa kamati kuu ya CCM. Mtu huyu si wakumbeza yeye wala kizazi chake kwani ni mtu mwenye kuifahamu serikali na chama kindaki ndaki.
Alipomtumbua "mwana" Mh. Charles Kitwanga, kwanini nasema mwana, taarifa zilizopo mtaani ni kwamba Mh. Kitwanga na Mh. Rais ni marafiki wakubwa sana si wa kukutana baa bali wa kuja njumbani na kukaribishwa sebuleni akakabidhiwa rimoti na kubadilisha chaneli.
Alipo kamatwa Mke wa Waziri mmoja na trafiki akajibu shit alafu Mh. Rais akasema hata mke wangu akizingua kamata, mmh hili lilikua fikirishi hasa kwa wenye fikra.
Alipowaambia waandishi wa Habari NOT TO THAT EXTENT, tukalalama tukaingiwa na hofu tasnia pendwa imevamiwa, sisi tunajinasibu kuwa Mhimili wa nne usio rasmi.
TISS hii ni taasisi nyeti kuliko unyeti unaoyamkinika, kiongozi wake si tu kwamba anaongoza watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri, bali wenye mafunzo mahsusi juu ya nyanja mbali mbali za kubashiri yajayo na utambuzi wa viashiria kabla kutendeka kwa tukio.
Hivyo kusikia Mkurugenzi wake kuondolewa chomboni, sio jambo lakufikirisha tu, bali limegongelea msumari wa mwisho kwenye jeneza kwamba kigezo pekee ni UCHAPA KAZI NA WELEDI KATIKA KAZI na si unajua mimi ni nani.
Ni muda muafaka Sasa yeyote mwenye dhamana ya uongozi katika serikali hii kujua kwamba kitu pekee kitakacho linda kibarua chako ni weledi uliotukuka katika nafasi uliyopo na sio vinginevyo.
Nawasilisha
Baada ya rais kumtaja hadharani ndo unasema alikuwepo tangu zamani as if unamjua au ulishafanya nae kazi.
Asingemtaja,ungekuja na comment tofaut kabisa na hii
Ile haikuwa demotion, pole yako. Alikuwa kagera kwa kazi maalumu.Achana na Nyumbu hilo Mkuu
Limesahau kuwa Jamaa alipewa demotion from DCI to RAS
Pumbaf kabisaIle haikuwa demotion, pole yako. Alikuwa kagera kwa kazi maalumu.
Waswahili wanasema mbele ya mtu kuna mtu na nyuma ya mtu kuna mtu.Unamaanisha KP alikuwa tailed? Mtu kivuli alikuwa nyuma yake?