Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,787
Write your reply...Huyu anaechukua nafasi ya kipilimba, ni askari polisi aliezoea kupokea amri bila reasoning, tutegemee kushuhudia madudu mengine zaidi kwenye idara hii nyeti.
Diwani Athumani ni Kachero na ni Miongoni Mwa Wamakechero Mwenye Cheo kikubwa tu pale TISS. Upolisi ulikuwa was his second JobWrite your reply...Huyu anaechukua nafasi ya kipilimba, ni askari polisi aliezoea kupokea amri bila reasoning, tutegemee kushuhudia madudu mengine zaidi kwenye idara hii nyeti.
Wasalaam watu wa Mungu
Miezi 6 tu baada ya uteuzi wa wakuu wa mikoa isiyokua bahati ilimshukia Mama Anne Kilango Malecela. Watu wengi walijua huyu buana anatafuta publicity.
Walichosahau tu ni Kwamba huyu ni mke wa Waziri mkuu wa Tanzania 1990-1994 aidha Makamu mwenyekiti CCM 1995-2007 na mjumbe wa kamati kuu ya CCM. Mtu huyu si wakumbeza yeye wala kizazi chake kwani ni mtu mwenye kuifahamu serikali na chama kindaki ndaki.
Le mutus,mgogo halisi,sawa na kabundi na sabufa,akili zeroKizazi cha mzee Malecela ni pamoja na Le mutuz usisahau hilo tafadhali!
Le mutus,mgogo halisi,sawa na kabundi na sabufa,akili zero
Write your reply...Huyu anaechukua nafasi ya kipilimba, ni askari polisi aliezoea kupokea amri bila reasoning, tutegemee kushuhudia madudu mengine zaidi kwenye idara hii nyeti.
Nchi ya Tanzania sio ya genge la viongozi na watoto wao na wake zao alichofanya raisi ni sahihi hata january makamba kapata shule hili ni Taifa la watanzania wote kuwa mke wa wazir au raisi sio tiketi ya kuchekewa Taifa kwanza
Raisi John Pombe Magufuli alikuwa sahihi kumfyeka
Udhaifu huo umelifanya Taifa liwe mikononi mwa watu wachache kwa sasa kila mmoja atakwenda ukilete mazoea
Bado nasubir katiba mpya.
Kilichofanyika ni kuondoa kizazi cha wengine na kuweka chake na Jamaa zake tofauti ni ipi sasa?
Baada ya rais kumtaja hadharani ndo unasema alikuwepo tangu zamani as if unamjua au ulishafanya nae kazi.Acha uongo, Diwani athumani msuya ni TISS na kachero mbobezi tangu zamani labda umemjua leo wewe, kama humjui nyamaza, Amekuewepo ndani ya jeshi la polisi kama agent wa TISS bila wao hata kujua.
Tiss wapo mahakamanumi, wapo ambao ni makarani, mahakimu, majaji,
Tiss wapo misikitini, ni.maimamu, waadhini, masheikh.
Tiss wapo kanisani, wapo maaskofu, mapadre, masister, mashemasi etc.
Tiss wapo bungeni kama wabunge, madereva wa wabunge , makatibu wa wabunge n.k
Usishangae kuona Diwani athumani ukasema tu ni askari polisi, note. Hata boss wako ni TISS kama hujui!!
Rais aliwah sema huyu ni tiss na alienda polis kama under cover tu sema binafs Sipendi sana kuongelea hii taasisiKumchukua askari polisi aliyejengewa misingi ya kufokewa na kupokea amri toka kwa wanasiasa ili kulinda maslai yao sababu ya mfumo wa kazi zao ni za kutii amri kuliko kuhoji amri na kumpa idara inayohitaji matumizi zaidi ya weledi,akili na mafunzo.Sijui wanataka ipeleka wapi idara.
Wasalaam watu wa Mungu
Miezi 6 tu baada ya uteuzi wa wakuu wa mikoa isiyokua bahati ilimshukia Mama Anne Kilango Malecela. Watu wengi walijua huyu buana anatafuta publicity.
Walichosahau tu ni Kwamba huyu ni mke wa Waziri mkuu wa Tanzania 1990-1994 aidha Makamu mwenyekiti CCM 1995-2007 na mjumbe wa kamati kuu ya CCM. Mtu huyu si wakumbeza yeye wala kizazi chake kwani ni mtu mwenye kuifahamu serikali na chama kindaki ndaki.
Alipomtumbua "mwana" Mh. Charles Kitwanga, kwanini nasema mwana, taarifa zilizopo mtaani ni kwamba Mh. Kitwanga na Mh. Rais ni marafiki wakubwa sana si wa kukutana baa bali wa kuja njumbani na kukaribishwa sebuleni akakabidhiwa rimoti na kubadilisha chaneli.
Alipo kamatwa Mke wa Waziri mmoja na trafiki akajibu shit alafu Mh. Rais akasema hata mke wangu akizingua kamata, mmh hili lilikua fikirishi hasa kwa wenye fikra.
Alipowaambia waandishi wa Habari NOT TO THAT EXTENT, tukalalama tukaingiwa na hofu tasnia pendwa imevamiwa, sisi tunajinasibu kuwa Mhimili wa nne usio rasmi.
TISS hii ni taasisi nyeti kuliko unyeti unaoyamkinika, kiongozi wake si tu kwamba anaongoza watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri, bali wenye mafunzo mahsusi juu ya nyanja mbali mbali za kubashiri yajayo na utambuzi wa viashiria kabla kutendeka kwa tukio.
Hivyo kusikia Mkurugenzi wake kuondolewa chomboni, sio jambo lakufikirisha tu, bali limegongelea msumari wa mwisho kwenye jeneza kwamba kigezo pekee ni UCHAPA KAZI NA WELEDI KATIKA KAZI na si unajua mimi ni nani.
Ni muda muafaka Sasa yeyote mwenye dhamana ya uongozi katika serikali hii kujua kwamba kitu pekee kitakacho linda kibarua chako ni weledi uliotukuka katika nafasi uliyopo na sio vinginevyo.
Nawasilisha