chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Rais Magufuli amewaalika wachina ikulu Dar na kufanya mazungumzo na kiongozi wa chama cha kikomunisti cha CCP ambaye yupo nchini kwa ziara ya kikazi.
Balozi wa China Nchini amesema China inakusudia kuwekeza dola bilion 5, sawa na shilingi Trilioni 11 ndani ya miaka 5.
Wamekubaliana kujenga chuo cha kisasa kitakachowafanya vijana wa kitanzania kuunda simu zao wenyewe.