Rais Magufuli akishamsifia mtu publically Unajua kilichowatokea Kitila na Mghwira, Zitto up Next

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Rais anafurahishwa na Wapinzani ambao siyo Pinga Pinga kwa hata jambo ambalo lina maslahi Kitaifa. Zitto pia alimuita Tundu Lissu hayawani kwa Kuagiza Nchi wahisani wasiipe Msaada Tanzania Kwa Sababu wanaikandamiza CHADEMA.

Such Self awareness ya Zitto Kabwe inamvutia sana Rais na Huenda akabahatika Kuishi kwenye Nyumba za Mawaziri katika awamu hii he is very bright Na ni Mvumilivu wa Kisiasa.

I wish him good , naomba CHADEMA tubadilike pia tusiwe Pinga Pinga!
 
Nitamdharau sana Magufuli kama anawaza tu kumpa uwaziri mtu mnafki kama Zitto.

Alisusa kuchukuwa posho ya kukaa bungeni kumbe kwenye social fund anapiga pesa ndefu, huyu ni wa kukabidhiwa kwa Takukuru tu na atueleze pale Dodoma Dar es salaam road karibu na Saint Augustine ule mgorofa wake ni kwa nini ameuuza baada ya kuona tumbuwatumbuwa za Magufuli?

Hivi Zitto huyu aliyehojiwa Polisi central na Zitto huyuhuyu aliyewakimbia Polisi ndio leo amekuwa mzuri kwao? Majanga.
 
Kama ni kuanza kujitambua sijui,I reserve my comments,ila hata mimi nimempenda kwa kuwa hapingi kila kitu.Panapopaswa kukosoa anakosoa na panapopaswa kutoka mawazo anafanya hivyo,huo ndio uungwana.Tanzania inahitaji constructive criticism,sio ubishi wa kitoto.
 
Sawa wizara ya madini si haina mtu kwa hiyo kujipendekeza kote kwa ZZT analenga pale ila sidhani kama itatokea.

Kwetu watanzania haina shida kama rais ataona Zitto anafit kwenye hiyo wizara..na kama kweli Zitto atakubali kulitumikia taifa kwa nia njema.

Kwa sasa watz hatujitaji siasa za kupinga kila kitu..eti ilimradi chama kionekane kipo active.
 
Nitamdharau sana Magufuli kama anawaza tu kumpa uwaziri mtu mnafki kama Zitto.

Alisusa kuchukuwa posho ya kukaa bungeni kumbe kwenye social fund anapiga pesa ndefu, huyu ni wa kukabidhiwa kwa Takukuru tu na atueleze pale Dodoma Dar es salaam road karibu na Saint Augustine ule mgorofa wake ni kwa nini ameuuza baada ya kuona tumbuwatumbuwa za Magufuli?
Hivi Zitto huyu aliyehojiwa Polisi central na Zitto huyuhuyu aliyewakimbia Polisi ndio leo amekuwa mzuri kwao? Majanga.

Rais anafanya maamuzi objectively na sio subjectively.
 
Kwetu watanzania haina shida kama rais ataona Zitto anafit kwenye hiyo wizara..na kama kweli Zitto atakubali kulitumikia taifa kwa nia njema.

Kwa sasa watz hatujitaji siasa za kupinga kila kitu..eti ilimradi chama kionekane kipo active.
Wewe humjui Zitto shut up, Zitto anapaswa kushughulikiwa na Takukuru, madudu yake ya NSSF yanafahamika, na ujiulize ni kwa nini ule mgorofa wake pale Dodoma ameuza kabla ujenzi haujakamilika?
 
Mkuu Troll JF kwa hivyo Maoni yako Upinzani uwepo kwa ajili ya Kumfurahisha Rais?
Unadhani Kila anayempinga Anatafuta Uwaziri ? Haha
 
Back
Top Bottom