Rais Magufuli akishamsifia mtu publically Unajua kilichowatokea Kitila na Mghwira, Zitto up Next

Hiyo 70% umeipimaje?
Tatizo lako umejaa ushabiki, laiti kama ungekuwa unakiacha kichwa chako kifikiri badala ya kufuata mihemko ya wale WANYAMA fulani.....unaonekana una kitu ambacho jamii ingejifunza kutoka kwako.
Hahahahaha sheria si zinakataza mtumishi wa umma kujihusisha na siasa au kitila amekuwa mtumishi wa umma siku alipoteuliwa kuwa katibu mkuu wa wizara ya maji???? Au mie kweli ndio sielewi "administresheni"!!! nieleweshe

ACT mlifanya press conference ambayo 70% mlisifia rais kwa uteuzi ule sasa mnataka mtuaminishe eti hamuungi mkono???? Ile press conference na kumsifia kwa uteuzi aliopata ndio WALICHOAMUA ACT sasa kipi mlichoamua hiko zaidi ya press conference ambayo dunia nzima imeiona

Bado zitto tu aliyedai magufuli atakuwa rais wa muhula mmoja tu na mwezi wa nne alitaka kupeleka hoja ya kutokuwa na imani na magufuli ila mwezi mmoja baadae anasema ni RAIS MZALENDO na mbikagani unapiga makofi tu :D:D:D
 
Hiyo 70% umeipimaje?
Tatizo lako umejaa ushabiki, laiti kama ungekuwa unakiacha kichwa chako kifikiri badala ya kufuata mihemko ya wale WANYAMA fulani.....unaonekana una kitu ambacho jamii ingejifunza kutoka kwako.
Mkuu mie ni nyumbu na lofa and am proud of that siondoki leo wala kesho unyumbuni ila haimaanishi siungi mkono harakati za mwami zitto na chama chake cha ACT ila mnapokosea lazima tuwakosoe bhana na ndio maana ya kuwa na jukwaa huru kma hili

Hivyo nataka ujibu hoja kuhusu kitila kwamba ni mtumishi wa umma hivyo kawa promoted je toka lini mtumishi wa umma anaruhusiwa kuwa active kwenye siasa za vyama????

Pia umeniambia mghwira mlichukua hatua kwamba ningeijua ningeacha kulalamika..... ndio nauliza hatua gani mmeichukua wakati kwenye tv mwigamba alimsafisha na mkadau rais hana uchama na anataka umoja hivyo mkamsupport mghwira...... hivyo basi kumuita magufuli anaongoza chama cha wapuuzi huoni ni undumilakuwili kuwaita ccm wapuuzi huku mwenyekiti wako anatekeleza ilani ya wapuuzi na vilevile anafanya kazi directly kuripoti kwa mwenyekiti wa chama cha wapuuzi

Ukiniweka sawa hapa nitashawishika kuamini kuwa chama chenu ni cha watu makini
 
Unashindwaje Kumkubali role model wako?
 
Unashindwaje Kumkubali role model wako?
Huo u-role model uliupachika wwe?? Zitto alikuwa vzuri sana na angekuwa mwenyekiti wa sisi malofa ila magamba mlimuharibu sana leo hii anastruggle kukibeba chama alichohamia kwa mikono yake miwili !!!!
 
Wewe humjui Zitto shut up, Zitto anapaswa kushughulikiwa na Takukuru, madudu yake ya NSSF yanafahamika, na ujiulize ni kwa nini ule mgorofa wake pale Dodoma ameuza kabla ujenzi haujakamilika?

Wewe mkewe naona unamjua kiundani si ndiyo? Acha kujifanya una taarifa humu kuna watu wazima na akili zao. Ulitaka aliache hil ghorofa ili aje adaiwe bilioni 1 kama m/kiti wenu?
 
Wewe mkewe naona unamjua kiundani si ndiyo? Acha kujifanya una taarifa humu kuna watu wazima na akili zao. Ulitaka aliache hil ghorofa ili aje adaiwe bilioni 1 kama m/kiti wenu?
Mimi sina mwenyekiti kenge wewe, unadhani kila mtu humu ni mateka wa vyama?
 
Rais anafurahishwa na Wapinzani ambao siyo Pinga Pinga kwa hata jambo ambalo lina maslahi Kitaifa. Zitto pia alimuita Tundu Lissu hayawani kwa Kuagiza Nchi wahisani wasiipe Msaada Tanzania Kwa Sababu wanaikandamiza CHADEMA.

Such Self awareness ya Zitto Kabwe inamvutia sana Rais na Huenda akabahatika Kuishi kwenye Nyumba za Mawaziri katika awamu hii he is very bright Na ni Mvumilivu wa Kisiasa.

I wish him good , naomba CHADEMA tubadilike pia tusiwe Pinga Pinga!
Hivi lini magufuli kafanya chochote cha maendeleo? Hata kwa kukosea au kucopy mahala .basi tufanye he is the best aache tu udikteta na kuwa tumia polisi kama mali yake aruhusu wapinzani wapige kazi zao miezi miwili kama ccm hawajapata mshituko ambao haujawahi kutokea .........
 
Zitto akipewa wizara yoyote ile atafanya miujiza na atakupa the best performer ever in the history of Tanzania, i know him I have dealt with him.
He is very nationalistic, we should remember he was a close friend of JK , lakini alikuwa sababu kubwa ya kufanya mara kadha kubadili serekali yake, Alipinga magendo mbaya wa serekali ya rafikiye.

Watanzania tutabahatika sana akipewa wizara ya nishati na maoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom