Rais Magufuli akishamsifia mtu publically Unajua kilichowatokea Kitila na Mghwira, Zitto up Next

Kwetu watanzania haina shida kama rais ataona Zitto anafit kwenye hiyo wizara..na kama kweli Zitto atakubali kulitumikia taifa kwa nia njema.

Kwa sasa watz hatujitaji siasa za kupinga kila kitu..eti ilimradi chama kionekane kipo active.
Kwani lini zitto kakataa magufuli sio dikteta?? lini zitto kakanusha kuwa bombardier sio ufisadi??? Lini zitto kakanusha kuwa magufuli alitaka kuua wati na njaa ndio maana akagomea kugawa chakula ??? Lini zitto kakanusha magufuli kawasaliti wanakagera?? Acheni unafki..... zitto kampinga sana magufuli labda mseme anamsifia kwa sababu ni dili lao ila hayo ya kusema oooh zitto sijui hapingagi serikali ni kutufanya watanzania ni wajinga
 
Kama ni kuanza kujitambua sijui,I reserve my comments,ila hata mimi nampenda kwa kuwa hapingi kila kitu.Panapopaswa kukosoa anakosoa na panapopaswa kutoka mawazo anafanya hivyo,huo ndio uungwana.Tanzania inahitaji constructive criticism,sio ubishi wa kitoto.
Hapingi kila kitu kipi??? Si amesema magufuli hatafika 2020 akiwa rais na alotaka hta kwenda kutoa hoja ya kutokua na imani naye ili bunge limtoe sasa huyo hta miezi 3 haijapita toka atishue hivo mnasema hapingi??? Kma kweli hoja yake ingepata mashiko si magufuli angekuwa ametolewa??? Acheni unafki bhana msifienu kma mnamsifia zitto ila mstake kuonyesha eti crticism zake ni tofauti na za wapinzani wengine huo ni kutufanya ssi watanzania wapumbavu!!
 
Zote ulizoandika hapa ni HYPOTHESIS.
Kwa watu makini waliosoma sayansi hawana cha kuchukua hapo.

Lete data hapa, hayo uliyoyasema hata Livingstone Lusinde(kibajaji) wapuuzi ccm walimpa ili wajaribu kumchafua Zitto.
Unafiki ni Zitto kujifanya achukui sitting allowance kumbe anapiga pesa ndefu kwa kutumia uenyekiti wa POC.

Wewe inawezekana hujui lolote mimi kazi zangu nafanya na wabunge najuwa issue zao zote, na wote sasa hivi wanaisoma namba ubunge si kama enzi za JK.

Kama ulikuwa unahisi Zitto ni mzalendo pole sana, ukiacha mali nyingine lile gorofa la pale Dodoma huwezi kujenga kwa kipato cha ubunge, je Zitto ana biashara gani? Na kwa nini ameliuza lile jengo wakati lipo kwenye hatuwa ya finishing? Anaficha nini au anajihami na nini?
 
Akiwa katika serikali ya CCM anakua kibaraka duu, serikali ni ya watanzania
Akikubali huo uwaziri ntamuona ni msaliti kweli imani yote kwake itaisha maana ACT walishaswma kupitia yye kuwa nchi haiwezi endelea mpaka ccm itolewe madarakani na akaenda mbali sana na kusema tunaweza shuhudia mapinduzi ya kwanza toka enzi za nyerere maana rais ni dikteta na hawezi kutukomboa na umaskini leo hii hta mwaka haujaisha aingie serikali ya ccm!!! Afu akiitwa kibaraka mtushangae???
 
Umewahoji vizuri sana.
Lakini kwa vile wanafuata mkumbo wa watwana wao hawatakuelewa.
Kwani lini zitto kakataa magufuli sio dikteta?? lini zitto kakanusha kuwa bombardier sio ufisadi??? Lini zitto kakanusha kuwa magufuli alitaka kuua wati na njaa ndio maana akagomea kugawa chakula ??? Lini zitto kakanusha magufuli kawasaliti wanakagera?? Acheni unafki..... zitto kampinga sana magufuli labda mseme anamsifia kwa sababu ni dili lao ila hayo ya kusema oooh zitto sijui hapingagi serikali ni kutufanya watanzania ni wajinga
 
Zote ulizoandika hapa ni HYPOTHESIS.
Kwa watu makini waliosoma sayansi hawana cha kuchukua hapo.

Lete data hapa, hayo uliyoyasema hata Livingstone Lusinde(kibajaji) wapuuzi ccm walimpa ili wajaribu kumchafua Zitto.
Ccm ni wapuuzi tena ??? Mbona mwenyekiti wenu ameteuliwa na anafanya kazi chini ya mwenyekiti wa chama cha uliowaita wapuuzi???? Huu undumila kuwili mtaacha lini ACT??
 
Hapingi kila kitu kipi??? Si amesema magufuli hatafika 2020 akiwa rais na alotaka hta kwenda kutoa hoja ya kutokua na imani naye ili bunge limtoe sasa huyo hta miezi 3 haijapita toka atishue hivo mnasema hapingi??? Kma kweli hoja yake ingepata mashiko si magufuli angekuwa ametolewa??? Acheni unafki bhana msifienu kma mnamsifia zitto ila mstake kuonyesha eti crticism zake ni tofauti na za wapinzani wengine huo ni kutufanya ssi watanzania wapumbavu!!
Amefanya vizuri,lazima asifiwe.Na Lissu akifanya vizuri tutamsifu.
 
Rais anafurahishwa na Wapinzani ambao siyo Pinga Pinga kwa hata jambo ambalo lina maslahi Kitaifa. Zitto pia alimuita Tundu Lissu hayawani kwa Kuagiza Nchi wahisani wasiipe Msaada Tanzania Kwa Sababu wanaikandamiza CHADEMA.

Such Self awareness ya Zitto Kabwe inamvutia sana Rais na Huenda akabahatika Kuishi kwenye Nyumba za Mawaziri katika awamu hii he is very bright Na ni Mvumilivu wa Kisiasa.

I wish him good , naomba CHADEMA tubadilike pia tusiwe Pinga Pinga!
Yaani JPM anavyopenda sifa, yuko tayari kubatilisha kauli yake ya kutochagua mpinzani katika serikali yake, alimradi tu umsifie. na hata Tundu Lissu akiamua kuanza kumsifia na kumtukuza na kumuimbia mapambio, anaweza kuukwaa uwaziri. tena JPM atafurahi sana. sema tu Tundu Lissu siyo ZZK.
 
Zitto ni msomi na anaakili kuliko wapinzan wengi sana
Akiwa waziri sio mbaya

IQ standard
 
Rais anafurahishwa na Wapinzani ambao siyo Pinga Pinga kwa hata jambo ambalo lina maslahi Kitaifa. Zitto pia alimuita Tundu Lissu hayawani kwa Kuagiza Nchi wahisani wasiipe Msaada Tanzania Kwa Sababu wanaikandamiza CHADEMA.

Such Self awareness ya Zitto Kabwe inamvutia sana Rais na Huenda akabahatika Kuishi kwenye Nyumba za Mawaziri katika awamu hii he is very bright Na ni Mvumilivu wa Kisiasa.

I wish him good , naomba CHADEMA tubadilike pia tusiwe Pinga Pinga!
Siyo pinga pinga tu, bali ni ruksa kupinga kinachostahili kupingwa, Je Kafulila anataka Uwaziri wa Wizara gani ? Acheni hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zito anatrotia wizara ya nishati na madini iliyo wazi ili aungane na Ana,mkumbo. Habibi nae anataka ajichange udc
 
Ampe mchumia tumbo Zito mana wenzio washasahau kama kuna gereji bubu inaitwa ACT Mkumbo kafata mkumbo na Mgwira ..kapata ngawira mama toka apate kiti cha kuzunguka fahamu zimekata alizoea stuli ofisini kwa Zito
 
Back
Top Bottom